Maparachichi ya Tanzania yanavyouzwa nje ya nchi kwa kupewa uraia mpya

Suala hili ni pana sana.
Kwanza ni ile tabia ya watu hasa sisi Watanzania kupenda vitu vya nje yaani mind zetu zinaamini kuwa kinachotoka nje ndicho bora. Mtu tena Mtanzania anaenda supermarket anatafuta nyanya kutoka south Africa, akiona za Tanzania hata kama ni nzuri, lile neno kuwa ni za Tanzania linamfanya azione kuwa ni inferior, kwa hiyo mjasiriamali mzuri anakuja na market strategy - chukua mali ya Tanzania ipe label ya SA, the unafanya mauzo ya kutosha tena kwa bei kubwa (hiyo ndiyo hoja ya pili)
Ni kweli kimataifa haileti picha nzuri maana inaonekana kana kwamba Tanzania hatuzalishi kilicho bora, lakini kwa upande mwingine kwa kuwa kinachouzwa bado ni kile kilichozalishwa Tanzania, na kama ni mazao ya kilimo basi mkulima ananufaika
 
Usituite wajinga tusingelima,bora unyamaze kuliko huo uchangiaji wako,soma kichwa cha habari.
 
Naona wewe hujazunguka na wala hujui hicho kilimo hizo heka mbili unakisia,watu wana heka nyingi sana Nenda Njombe mkuu!
 
Hayo maparachichi nani alaumiwe kama siyo hao hao kina fudenge.

Kama nchi iteendelea kuwa na sera zake za hovyo, wacha yauzwe huko kwa jina la wakenya, bora wakulima wa Bongo wanaridhia.
Vyote tu kahawa wakauzie Uganda na Rwanda, Korosho wakauzie Msumbiji na Malawi, haina shida BORA mkulima apate bei, siyo porojo za AMCOS.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ukweli ndiyo huu, ila ni mchungu mithili ya shubiri. Mie hapa napaliwa huku chozi lanitoka.
Nafikiri ni sera za ujamaa kila kitu kufanywa na serikali huku tukibweteka.

Watanzania kwenye competition tumeshindwa, nafikiri tubakie tu kuchimba makinikia maana hapo tumewazidi majirani.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Asante ukweli lazima utufikie, serikali ya chama fulani haijawahi kumuwezesha mkulima wa avocado, bali imekaa pembeni kusubiria kujipa credit, shame!
Nakwambia utawaona wagombea urais 2025, kila mtu akijipendekeza huko.

Nakuambia sasa hivi wataingia.kivuruge na sera za lazima avocado ziuzwe kwa vyama vya ushirika, BORA tu kutimizia ilani. Rubbish nonsense! Bora tu, kukusanya hela, utasikia kodi ya wakala wa mizani, kodi wakala wa barabara, zilizotengenezwa na wakulima, kodi ya halmashauri, kodi ya kijiji, kodi ya ushirika..

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hizo nyingine ni tamaa. Wametafuta soko la kuuza wao wakatafuta soko la kununua hayo matunda wao alafu wewe na akili mgando unataka utajwe kwenye nembo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

It can't be aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwanza watu wa njombe wakikusikia hawatakuelewa kabisa kwa namna wanavyopiga hela kule[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hizo tamaa mliziingiza kwenye korosho kilichotokea hakuna asiyejua.

Tujiandae, tutafute soko la kudumu, tuyapackage then tuyapeleke.

Hauwezi kupata maendeleo kwa kumuonea wivu jirani aliyefanikiwa. Sanasana utaishia kua na akili kama hizo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…