We nae usiwe kama zuzu
STEP ONE
Chukua 85% ya idadi yote ya watu inayopaswa kuingia kwenye stadium (say 65000) times gharama ambayo ni 2,000/-
Then chukua 10% ya 65000 times 20,000/-
Then chukua 5% ya 65000 times 50,000/-
Then jumlisha majibu yoooote utapata ANSWER 01
STEP TWO
tafuta error
Chukua 3% ya idadi nzima ya watu ambayo ni 65000 (full capacity) times 2000/-
Hii itakuwa plus or minus na itakuwa ANSWER 02
Total
ANSWER 01 + OR - (plus or minus) ANSWER 02
Utapata rough estimations [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using
Jamii Forums mobile app