Mapato ya Taifa star

Mapato ya Taifa star

koyola

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,645
Reaction score
1,748
Mwenye kujua mapato ya mechi ya Taifa star na uganda atujuze maana mkulu alitutonya uwezo wa kiwanja ni watu 65000 na waliongia na kubaki nje idaki haiajulikani...basi hicho kilichipatikana mwenye taarifa kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichopatikana kimefidia kwenye vile vitambulisho vya WAJASI ambavyo havijauzwa
 
We nae usiwe kama zuzu
STEP ONE
Chukua 85% ya idadi yote ya watu inayopaswa kuingia kwenye stadium (say 65000) times gharama ambayo ni 2,000/-
Then chukua 10% ya 65000 times 20,000/-
Then chukua 5% ya 65000 times 50,000/-
Then jumlisha majibu yoooote utapata ANSWER 01
STEP TWO
tafuta error
Chukua 3% ya idadi nzima ya watu ambayo ni 65000 (full capacity) times 2000/-
Hii itakuwa plus or minus na itakuwa ANSWER 02

Total
ANSWER 01 + OR - (plus or minus) ANSWER 02
Utapata rough estimations [emoji1][emoji1][emoji1]

Ngoja wapiga hesabu waje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom