Hivi tatizo kubwa la wakenya ninini?, mbona ninaona kama maamuzi ya Kenya mengi hayakufanyiwa analysis ya kina kabla ya kufikiwa uamuzi matokeo yake Kenya inaelekea kubaya sana. Mfano wa maamuzi mabovu ni
1)Kujiingiza Somalia
2) Laptop per child project
3)Ujenzi wa Lamu port
4)Ujenzi wa greenfield terminal(baadae ulifutwa lakini pesa nyingi ilikwisha tumika)
5)Ujenzi na ununuzi wa Diesel SGR
6)Matumizi makubwa katika kununua military hardware kupambana na alshaabab wenye AK47
7)Kutumia pesa nyingi kujenga flyovers, lakini wanapuuza mradi wa Galana irrigation.
8)Serikali kutozipa umuhimu public Hospitals, na kuziacha private Hospitals kuwa ndiyo tegemeo la wakenya wenye kuhitaji specialized care.
Naomba nieleweshwe kwasababu huwa ninashindwa kupata mantiki yake.