rashidiiddi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 224
- 117
Ukiwa na mke mmoja wa wawili tyr wewe upo kwenye mtaala2.2billion - 2.1billion= ?. Mleta mada, kazi kwako. Hongera zenu lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na mke mmoja wa wawili tyr wewe upo kwenye mtaala2.2billion - 2.1billion= ?. Mleta mada, kazi kwako. Hongera zenu lakini.
Hahaha. 😀 Sawa jombaa.Ukiwa na mke mmoja wa wawili tyr wewe upo kwenye mtaala
hiyo namba 6) KDF ilinunua scrap jets (rightoff F16) toka Jordan tukapewa majigambo humu ndani but unfortunately none of them is working at the moment. Moja imeanguka wiki hiI.Hivi tatizo kubwa la wakenya ninini?, mbona ninaona kama maamuzi ya Kenya mengi hayakufanyiwa analysis ya kina kabla ya kufikiwa uamuzi matokeo yake Kenya inaelekea kubaya sana. Mfano wa maamuzi mabovu ni
1)Kujiingiza Somalia
2) Laptop per child project
3)Ujenzi wa Lamu port
4)Ujenzi wa greenfield terminal(baadae ulifutwa lakini pesa nyingi ilikwisha tumika)
5)Ujenzi na ununuzi wa Diesel SGR
6)Matumizi makubwa katika kununua military hardware kupambana na alshaabab wenye AK47
7)Kutumia pesa nyingi kujenga flyovers, lakini wanapuuza mradi wa Galana irrigation.
8)Serikali kutozipa umuhimu public Hospitals, na kuziacha private Hospitals kuwa ndiyo tegemeo la wakenya wenye kuhitaji specialized care.
Naomba nieleweshwe kwasababu huwa ninashindwa kupata mantiki yake.