Mapato ya Utalii Tanzania yaongezeka Kutoka $2.1b to $2.2b

Tz is the Next Giant in EAC driven by Tourism, export of minerals and Gas.
As kenya borrows $2bn in eurobond, TZ is making a clean $2bn Just from tourism alone.
Bro hua upo na hoja nzuri..nikwel tumekua tukifanya vizur kwenye kudhibiti mapato yatokanayo na utalii...lakini pekee haitoshi,Ni dhahiri mipango ikiwekwa vyema idara zote heshima itakuwepo
 
Hongera. Mimi sitaogopa kuwapa hongera. East Africa's biggest tourism market in terms of revenue but not number of tourists
If u were smart u could have faster realized either the numbers given by Kenya are fake (either KTB counted tourists ontransit or travellers on non touristic trip) or ur tourism is cheaper. Try to not sound foolish one can not fake revenues by overstating the figures usually understating the figures is the norm and practice.
 
Sasa ulikuwa unataka niseme nyinyi ndio mko na more tourists ama.
 
Their Data(TZ) is much better birfucated, visas are categorized. Kenya every person who enters the border is a "tourist"..Our data lumped up together and not easy to conduct analysis for future targeted marketing or other descision making
 
exactly that has always been my explanation. I don't believe Kenya received 1.4 mln tourists n yet hoteliers around Kenya r lamenting about poor bed occupancy. Something is amiss from the stats issued.
 
Ooh, now i get your point. You are saying that we have cooked data. Mbona hungesema hivyo badala ya kizungu mingi. Evidence iko wapi buda
 
Kenyans are honest ,they salute where we deserve but wabongo sasa hata ukisema wakenya wametuzidi miundombinu ya kisasa kwenye barabara utaona wakina ichoboy and co.watakavyi vimba mishipa
 
Ooh, now i get your point. You are saying that we have cooked data. Mbona hungesema hivyo badala ya kizungu mingi. Evidence iko wapi buda
look at a Kenyan telling me kizungu mingi. Kuwa na adabu na uulize uhuru mbona hizo tourist figures haziendani na revenues.
 
Budget yenyu this year itakuwa $14 b kama last year. Tag me if it changes.
Ndiyo sababu huwa ninakuambia wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana, japo wewe ni kaka yangu kipenzi lakini sina budi nikuambie ukweli. Hivi jirani yako anatengeneza pesa nyingi kuliko wewe, ila wewe unajisifia kwa kumzidi katika matumizi na sio katika kutengeneza pesa, hiyo ni akili kweli, nilitegemea ujisifie kwa kusema matumizi yako ni madogo kuliko huyo jirani wako.
 
Halafu hayo matumizi wanayoi jisifia yatalipwa kwa deni tena ya riba. Ujuha wa hali ya juu
 
Hivi tatizo kubwa la wakenya ninini?, mbona ninaona kama maamuzi ya Kenya mengi hayakufanyiwa analysis ya kina kabla ya kufikiwa uamuzi matokeo yake Kenya inaelekea kubaya sana. Mfano wa maamuzi mabovu ni
1)Kujiingiza Somalia
2) Laptop per child project
3)Ujenzi wa Lamu port
4)Ujenzi wa greenfield terminal(baadae ulifutwa lakini pesa nyingi ilikwisha tumika)
5)Ujenzi na ununuzi wa Diesel SGR
6)Matumizi makubwa katika kununua military hardware kupambana na alshaabab wenye AK47
7)Kutumia pesa nyingi kujenga flyovers, lakini wanapuuza mradi wa Galana irrigation.
8)Serikali kutozipa umuhimu public Hospitals, na kuziacha private Hospitals kuwa ndiyo tegemeo la wakenya wenye kuhitaji specialized care.

Naomba nieleweshwe kwasababu huwa ninashindwa kupata mantiki yake.
 
Huu ndio undugu wa Kweli, Mkikuyu na Mfipa.
 
Back
Top Bottom