Kwaiyo huwa mnafanyia nini Hizo hela? Maana hata ujenzi wa Barabara ya KM 10 lazima mkaombe uchinalast year Nairobi collected 11 billion KES = 248 billion TZS
Mombasa 4 Billion = 90 Billion TZS
Nakuru 3 billion KES = TZS 67 Billion
Kiambu 2 billion Kes = 45 billion TZS
combine all the dar municipalities it doesnt come close to mombasa..yet dar has a pop of 6 million
Tuonyeshe ya kwenu hapo Nairobi...😅😅😅Aibu imekushika....👇👇👇Stage za mabus ndio maendeleo 21st century!!!
lDC mentality ni shida sana.
Hii ndo wanajua 😅😅😅🤣🤣🤣👇👇👇 Wao hawapendi vitu vizuri...😅😅😅🤣🤣🤣Hapana.. maendeleo ni kochora spiderman kwenye ma3
Kwakua Kenya hamna bus stages it doesnt mean Tz isiwe nazo pia. Nyie pambaneni na ma bus kupaki randomly CBD
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pesa yote Nairobi inawekeza kutengeneza bustani za barabara....😅😅😅😅....Hii ni Ubungo municipal..To be the largest logistic center in East and Central Africa...🤣🤣🤣🤣😅😅😅👇👇👇 By Ubungo municipal Dar es salaam.List of counties with the highest and lowest revenue collection
Kenya's Nairobi County collected the highest amount of revenue in the 2016/2017 financial year,a new report shows.
According to the Annual County Governments Budget Implementation Review Report, released by the Commission on Revenue Allocation (CRA), Nairobi raised Sh10 billion, followed by Mombasa and Kiambu at Sh3.17 and and Sh2.03 billion respectively.
"During the period under review, the Nairobi City County generated the highest amount of local revenue at Kshs.10.93 billion, followed by Mombasa and Kiambu at Kshs.3.17 billion and Kshs.2.03 billion respectively,"stated the report.
On the other hand, Wajir, Mandera and Tana River were among the counties that generated the lowest amount at Kshs.75.91 million, Kshs.55.84 million and Kshs.27.42 million respectively.
Marsabit and Turkana Counties were the counties that surpassed the proportion of local revenue against annual targets at 107.3 per cent and 103.5 per cent respectively.
This was a stark contrast from the five counties that recorded the lowest proportion of local revenue against annual targets. They included Kisii (37.5%), Wajir (33%), Garissa (23.4%) and Mandera(21%).
The report comes at a time when the Controller of National Budget Agnes Odhiambo wants 43 counties probed for accumulating Sh35 billion debt.
Mrs. Odhiambo in the 2016/17 implementation annual report recommended that the pending bills should be audited by the Auditor General to ascertain their validity.
Counties with highest revenue collection 2016/2017:
1. Nairobi: Sh10.9 billion
2. Mombasa: Sh3.2 billion
3. Kiambu: Sh2.0 billion
4. Nakuru: Sh1.5 billion
5. Machakos: Sh1.3 billion
Counties with lowest revenue collection 2016/2017:
1. Tharaka Nithi: Sh78 billion
2. Lamu: Sh0.76 billion
3. Wajir: Sh0.75 billion
4. Mandera: Sh0.55 billion
5. Tana River: Sh0.27 billion
Hehehehe...Mbeya hakuna difference na Turkana...lol.....LDC HOYEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!
Nakuwekea videos ukajinyonge kabisa....😅😅😅😅👇👇 Tuonyeshe za kwenu zina fanya nini....mulisaaa hatutaki renders weka picha za complete projects tena topic hapa ni revenue collection hebu weka ya mji wa Dar is slum.
Value for money...😅😅😅👇👇👇 Dar es salaammulisaaa hatutaki renders weka picha za complete projects tena topic hapa ni revenue collection hebu weka ya mji wa Dar is slum.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Selemani Jafo, Leo Jiji i Dodoma amewasilisha Taarifa ya Ukusanyaji wa mapato kwa Halmashauri zote nchini ya mwaka 2017/2018. Jafo amesema umefika wakati sasa wa kubadilisha utaratibu wa kuainisha Halmashauri zilizofanya vizuri nchini kwenye ukusanyaji wa mapato kama ambavyo inafanyika kwenye matokeo ya mitihani ya NECTA.
Jafo alisema kuwa, baada ya Bank Reconciliation, Halmashauri zimepangwa kulingana na ubora wake wa ukusanyaji mapato. Takwimu zinaonyesha kuwa, makusanyo ya Halmashauri zote nchini kwa mwaka 2017/2018 yalikuwa ni asilimia 81% ya lengo nchini la kukusanya bilioni 687.
Makusanyo ya jiji:
Jiji bora:
1: Dodoma - bilioni 25 kati ya lengo la bilioni 19 (180%).
Jiji la mwisho:
Mbeya - bilioni 7.8 kati ya lengo la bilioni 11.10 (71%).
Makusanyo ya Manispaa:
Manispaa bora:
1: Iringa - bilioni 4.4 kati ya lengo la bilioni 4.1
2: Temeke - bilioni 29.4
Manispaa ya mwisho:
1: Ilemela - 40%
2: Ubungo - 43%
Makusanyo ya Halmashauri za Miji:
Halmashauri za Miji zilizofanya vizuri.
1: Geita - 218%
2: Njombe - bilioni 2.6
Halmashauri za Miji za mwisho:
1: Nanyamba - 54%
2: Kahama - 63%
3: Ifakara - 65%
Makusanyo ya Halmashauri za Miji:
Halmashauri za Wilaya zilizofanya vizuri:
1: Kibaha - bilioni 3.9 sawa na 165% ya lengo la bilioni 1.8.
2: Mpimbwe - bilioni 1.5 sawa na 162% ya lengo la milioni 956.
Halmashauri za Wilaya zlizofanya vibaya zaidi:
1: Mbinga - 20%
2: Songea - 33%
3: Rorya - 37%
4: Siha - 39%
Halmashauri (zote) zilizofanya vizuri kiasilimia:
1: Geita Mji - 218%
2: Kibaha Mji - 165%
3: H/W Mpimbwe - 162%
Halmashauri (site) zilizofanya vibaya:
1: Mbinga DC - 20%
2: Singea DC - 33%
3: Rorya DC - 37%
Jumla ya Halmashauri 38 (asilimia 24%) nchini zilivuka malengo ya mwaka 2017/2018 lakini Halmashauri 14 hazikufikia malengo yake ya makusanyo.
Ukubwa wa mapato:
Halmashauri zilizoongoza kwa kiwango kikubwa cha mapato nchini:
1: Manispaa ya Ilala - bilioni 44.5
2: Manispaa ya Kinondoni - bilioni 29.7
3: Manispaa ya Temeke - bilioni 29.4
4: Manispaa ya Dodoma - bilioni 25.5
Zilizokusanya mapato kidogo:
1: Kakonko - milioni 347.1
2: Buhigwe - milioni 371.2
3: Kigoma - milioni 418.7
Mikoa iliyofanya vyema kwa malengo:
1: Dodoma - 170%
2: Geita - 104%
3: Njombe - 103%
Mikoa iliyokusanya kidogo zaidi:
1: Ruvuma - 46%
2: Simiyu - 59%
3: Shinyanga - 66%
Halmashauri 38 zilizofanya vizuri:
Geita Mji, Kibaha DC, Mpimbwe DC, Kaliua DC, Misungwi DC, Bukoba, Pangani, Kilindi, Kilombero, Makete, Dodoma Manispaa, Wanging'ombe, Longido, Ulanga, Kasulu, Bukoba DC, Njombe Mji, Ushetu, Handeni mji, Mpanda DC, Muleba DC, Babati, Mwanga, Kibaha Mji, Ukerewe, Tandahimba, Magu, Monduli, Newala, Handeni, Lushoto, Njombe DC, Iringa Manispaa, Tarime DC na Temeke.
Halmashauri 14 zilizofanya vibaya:
Iringa DC (ya 172), Kyerwa, Mbulu, Kishapu, Igunga, Itigi, Ubungo Manispaa, Ilemela, Siha, Rorya, na ya mwisho Mbinga DC
Waziri Jafo alisema kuwa, ukusanyaji wa mapato 2018/2019, kigezo cha ukusanyaji wa mapato kitakuwa ndicho kipimo cha utendaji kazi wao.
Kikao cha Tathimini ya Ukusanyaji wa Mapato, Taarifa ya Serikali kwenye ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri Nchi nzima 2016/2017, Dodoma Jiji yaongoza - JamiiForums
Mdororo wa uchumi Tanzania: Watu 400 wamepoteza kazi kwa kufungwa mabenki - JamiiForums
Kiambu imemzidi nani apo?Ni sahihi kusema kiambu wako sawa lakin dar ni jiji kubwa usisahauList of counties with the highest and lowest revenue collection
Kenya's Nairobi County collected the highest amount of revenue in the 2016/2017 financial year,a new report shows.
According to the Annual County Governments Budget Implementation Review Report, released by the Commission on Revenue Allocation (CRA), Nairobi raised Sh10 billion, followed by Mombasa and Kiambu at Sh3.17 and and Sh2.03 billion respectively.
"During the period under review, the Nairobi City County generated the highest amount of local revenue at Kshs.10.93 billion, followed by Mombasa and Kiambu at Kshs.3.17 billion and Kshs.2.03 billion respectively,"stated the report.
On the other hand, Wajir, Mandera and Tana River were among the counties that generated the lowest amount at Kshs.75.91 million, Kshs.55.84 million and Kshs.27.42 million respectively.
Marsabit and Turkana Counties were the counties that surpassed the proportion of local revenue against annual targets at 107.3 per cent and 103.5 per cent respectively.
This was a stark contrast from the five counties that recorded the lowest proportion of local revenue against annual targets. They included Kisii (37.5%), Wajir (33%), Garissa (23.4%) and Mandera(21%).
The report comes at a time when the Controller of National Budget Agnes Odhiambo wants 43 counties probed for accumulating Sh35 billion debt.
Mrs. Odhiambo in the 2016/17 implementation annual report recommended that the pending bills should be audited by the Auditor General to ascertain their validity.
Counties with highest revenue collection 2016/2017:
1. Nairobi: Sh10.9 billion
2. Mombasa: Sh3.2 billion
3. Kiambu: Sh2.0 billion
4. Nakuru: Sh1.5 billion
5. Machakos: Sh1.3 billion
Counties with lowest revenue collection 2016/2017:
1. Tharaka Nithi: Sh78 billion
2. Lamu: Sh0.76 billion
3. Wajir: Sh0.75 billion
4. Mandera: Sh0.55 billion
5. Tana River: Sh0.27 billion
Hehehehe...Mbeya hakuna difference na Turkana...lol.....LDC HOYEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!
Kiambu haiwez jiji la DarNiliambia hawa watu Kiambu ina pesa kuliko Dar Es Salaam wakadhani ni utani...lol
jumulisha zote ulete figures hapa haifikii mombasa..dodoma nayo ata kakamega,nyeri,uasin ngishu imeishinda
Nasikia nai nzima hakuna matatu bus stand.Stage za mabus ndio maendeleo 21st century!!!
lDC mentality ni shida sana.
#failed stateBus stands ni za Nchi masikini Kama Tz na Uganda. Povu ruksa
#failed stateBus stands ni za Nchi masikini Kama Tz na Uganda. Povu ruksa