Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwani faiza toto hakuwepo kikosini?Hawa wengine nawaona kama wasindikizaji tu ndio maana siandikagi maneno marefu kuwachosha watu.Gemu inaendelea azam kashakufa bao 1, azam sports 2 wanaonyesha.
Wacha wewe!🤔La pili huko
Subhanallah!Kwa hiyo tunazika kwanza au tunabugia ubwabwa kwanza?Chuma mbili huko
Hyu jamaa sijui ilikuwaje azam wakamsajili yaani hamna kitu kabisaHuyu silla nae hamna kitu,
Kila saa anapoteza mpira