Mapema tu Azam kashaliwa 1 0 huko ethiopia

Mapema tu Azam kashaliwa 1 0 huko ethiopia

Huyu silla nae hamna kitu,
Kila saa anapoteza mpira
 
2-1 huko, afadhali wamepata goal la ugenini
 
Kaaazi kweli kweli...bakhresa njoo Simba achana na Azam muunganishe nguvu na gabachori mwenzio Mo tuwe club tajiri Africa...tuwaletee makombe
 
Back
Top Bottom