Mapema tu Azam kashaliwa 1 0 huko ethiopia

Mapema tu Azam kashaliwa 1 0 huko ethiopia

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Hawa wengine nawaona kama wasindikizaji tu ndio maana siandikagi maneno marefu kuwachosha watu.Gemu inaendelea azam kashakufa bao 1, azam sports 2 wanaonyesha.
 
Hao Azam mimi huwa sijisumbui kuwafuatilia. Yusuf mikepu naona anachomesha tu pesa zake pale. Sema anazo nyingi hazimsumbui anazotupa kwa klabu lake.
 
Tuwe na ukomo kwenye uandishi
Azam bado wananafasi ya kufanya kitu
 
Bora pesa hizo awekeze kwenye kiwanda cha juice aisee
 
Back
Top Bottom