MAPENDEKEZO: Bima ya nyumba iwe lazima kama ilivyo bima ya gari/vyombo vya moto

MAPENDEKEZO: Bima ya nyumba iwe lazima kama ilivyo bima ya gari/vyombo vya moto

Naona bima ya makazi ndo suluhu kwa sababu tayari tuna makazi ambayo hayajapangiliwa hivyo kuboresha zima moto bado haitasaidia sana so tujikite kwenye bima. Ila sie ni uchumi wa kati kumbuka mkuu.
Naona maafisa masoko wa bima mko kazini kusaka soko hadi nyumba za majani!!!
 
Kwenye mabasi kimbembe ukipata ajali sahau kabisa kulipwa!!!
Ni kweli mkuu watu wengi tunashuhudia wamepata ulemavu kwenye ajali za mabasi mpaka leo ni masikini wa kutupwa sasa sijui ni bima gani inayosifiwa na wadau hapa kuwa inalipa
 
Tulia ujifunze kwa wenye akili. Watu wenye akili hawacrash hoja wanachangia kama alivyofanya funzadume hapo juu. Kucrash hoja ni upopoma uliotukuka. Hoja huwa inajibiwa kwa hoja sio kuicrash wala kuikimbia. Leta hoja kwa nilichopost.
Hakika.
Kwa ujumla hakuna hoja isiyofaa.
Bali ni hoja kinzani.
Ruhusu hoja kisha uchambue kukufaa au kutokufaa.
Usimsakame mwenye hoja kinzani.
 
Bima ya makazi kwa mahesabu yangu mimi naona ni hasara.

Bima ya gari tunalipia kwa sababu zina movement muda wowote haichelewi kutokea ajali.

Lakini kulipia bima ya nyumba kila mwaka ambayo probarbility ya kutokea ajali ni 0.000001 kwa maana itadumu kwa miaka 50 hata bati halijadondoka huoni utakuwa umewapa hela za bure.

Naona bima ya makazi ndo suluhu kwa sababu tayari tuna makazi ambayo hayajapangiliwa hivyo kuboresha zima moto bado haitasaidia sana so tujikite kwenye bima. Ila sie ni uchumi wa kati kumbuka mkuu.
 
Iyo bima ya gar huwa inakusaidia nini. Hasa hizi third party?
 
Unamiliki gar wewe yenye bima ya third party?

Ulishapata ajali iyo bima ikafidia?
Yes ushahidi huo hapo tena nililipwa mwaka jana tu hapo.

20210217_112949.jpg
 
Back
Top Bottom