Naona maafisa masoko wa bima mko kazini kusaka soko hadi nyumba za majani!!!Naona bima ya makazi ndo suluhu kwa sababu tayari tuna makazi ambayo hayajapangiliwa hivyo kuboresha zima moto bado haitasaidia sana so tujikite kwenye bima. Ila sie ni uchumi wa kati kumbuka mkuu.
Ni kweli mkuu watu wengi tunashuhudia wamepata ulemavu kwenye ajali za mabasi mpaka leo ni masikini wa kutupwa sasa sijui ni bima gani inayosifiwa na wadau hapa kuwa inalipaKwenye mabasi kimbembe ukipata ajali sahau kabisa kulipwa!!!
Hakika.Tulia ujifunze kwa wenye akili. Watu wenye akili hawacrash hoja wanachangia kama alivyofanya funzadume hapo juu. Kucrash hoja ni upopoma uliotukuka. Hoja huwa inajibiwa kwa hoja sio kuicrash wala kuikimbia. Leta hoja kwa nilichopost.
Naona bima ya makazi ndo suluhu kwa sababu tayari tuna makazi ambayo hayajapangiliwa hivyo kuboresha zima moto bado haitasaidia sana so tujikite kwenye bima. Ila sie ni uchumi wa kati kumbuka mkuu.
Unamiliki gar wewe yenye bima ya third party?Kumlipa muhanga ukimsababishia madhara