You don't ask for your tights rather you demand your rights, sasa Chadema wamekuwa waungwana sana na pia wanaonyesha kuweka maslahi ya taifa mbele sana, kwa lile vugu vugu iliyokuwepo wakati wa kutangaza matokeo wangeamua kuwatangazia watanzania kuingia mtaani kudai haki yao hivi hata hilo bunge leo lingezinduliwa!! tuwe wakweli CCM wamefanya wizi na hakika wanajua kama ni wezi!! don't tell me kwamba hawana hata akili ya kujua kuwa watanzania wanajuwa kuwa wamepokonywa haki yao!! Hivi nani mkosaji kati ya hawa wawili yule anayepiga kelele au ukunga wa mwizi, mwizi, mwizi ama ni yule mwizi aliyeiba? anachofanya chadema ni kumpigia ukunga mwizi, you can't have it both ways huku unakwiba na huku unataka ustaarabu wa kutokuitwa mwizi. CCM waache udhalimu , mabaya waliokwisha kutufanyia watanzania yametosha wasitake mengine,
Lakini lawama kubwa zaidi ni hawa watu wanaofanya kazi bila kufuata ethics za kazi zao watumishi wa umma ama watumishi wa taasisi za serikali wanapogeuka kuwa vibaraka wa CCM!! Maana kama Tume ya uchaguzi wangekataa kata kata kutumiwa na CCM kufanya waliofanya haya yote yangetokea wapi, hapa lawama wala si katiba , hapa lawama na laana zielekwezwe kwa watu wa tume na taasisi nyingine zilizopelekea uchaguzi kutokuwa huru na haki, inakuwaje watu wameona yaliyotokea kenya kwa makosa ya Tume ya uchaguzi ya kenya leo hii Tume ya Tanzania inafanya yale yale!! hawa watu wa Tume sioni hata adhabu wanayostahili ukiwacha kuwanyonga adharani maana uroho wao unataka kusababisha taifa liingie katika kukosa amani yake. Mimi siwalaumu CCM sana maana Tume hawakuforciwa kuiba at gun point!! wangeweza kuwa wakweli au wakasema tunajiuzuru we would not be talking about this today.
Nashauri watumishi wa serikali na taasisi zake watambue kuwa wanalipeleka taifa kubaya kwa kuacha kufanya kazi kwa mujibu wa taratibu na kugeuka kuwa vibaraka wa CCM hawa ndo wanastahili adhabu kwanza alafu ifuatie CCM kwa kuwashawishi watumishi wa serikali, na mwisho CCM at least waoneshe kuwa dhamira inawasuta kwa wale waliotenda hivi watuonyeshe ustaarabu japo kidogo
Mungu Ibariki Tanzania