Mapendekezo maoni kuhusu kilimo cha nyanya

Mapendekezo maoni kuhusu kilimo cha nyanya

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,581
Reaction score
1,357
Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro.

Nimejaribu kupanda quater acre ya F1 aina ya VICTORY f1 na Jarrah F1, nusu nusu acre ntapanda mbegu ya kawaida ambayo ipo kitaluni,

tupeane mawazo kuhusu

Uandaaji wa shamba.

Mbegu bora.

Aina ya madawa.

Mbolea rafiki kwa kupandia na kukuzia nyanya.

Ni wakati gani soko Lina hali nzuri na tuuze vipi tupate faida nzuri.
Magonjwa shambulizi ya nyanya na mengine mengi kuhusu kiungo hichi cha mboga mboga. Kazi niliofanya hii hapa sample.

Uliza chochote kuhusu kilimo hichi tunaweza kutoa msaada. Karibuni tupeane uzoefu. Huo mmea wa mwisho nilizidisha dawa

IMG_20200920_074826.jpg


IMG_20200920_074800.jpg


IMG_20200920_074725.jpg


IMG_20200920_074643.jpg


IMG_20200920_074603.jpg


IMG_20200920_074543.jpg


IMG_20200916_183047.jpg
 
Vipi mkuu ulipiga hela? Unalima Kilimanjaro sehemu gani mbona kama unatumia mikono kunyeshelea ingali sehemu kubwa Kilimanjaro maji ya mifereji IPO? VP kati ya hizo mbegu ni ya kampuni gani ilifanya ufanisi zaidi
 
Back
Top Bottom