Uchaguzi 2020 Mapendekezo, maoni, ushauri kwa CC ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu hususani Jimbo la Kigamboni

Na aliyepita kwa rushwa ni lazima afikishwe mahakamani yeye pamoja na wajumbe. Kwasababu mtoa rushwa na anayepokea rushwa, wote ni wakosaji kisheria.
 
kama anapendwa kwann alionga? mwombee viti maalum, Kigamboni wala asiangaike akipitishwa tunampiga chini vilevile, by the way anakulipa shilingi ngapi huyo Makonda? inavyoonekana hata angegombea koromije na wakampiga chini wajumbe bado ungeleta uzi wa utetezi ukiashilia kuwa unatumika na hiyo hela ya kuchezea anaitoa wapi?????
 
Kwanini msifanye kinyume chake??? Huyu bogus makonda mteueni awe balozi huko vietnamu au afghanstan au somalia
 
Tunajua wauza unga walichangishana na kuingiza pesa chafu ili tu Makonda ashindwe
Haihitaji ajili ya ziada kujua Hilo,
Makonda na Ndugulile alietoka kufukuzwa kazi ya unaibu wazuri juzi Ni Makonda yupo juu sana kiutendaji
Niwekeeni Mambo mawili tu aliofanya Ndugulile akiwa mbunge na naibu wazuri.
1.Makonda kajenga Wadi ya wazazi na vitanda Amana
2.Makonda kajenga Wadi ya wazazi Mwananyamala
3.Makonda kajenga hospitali chanika
4.Makonda kafufua gari zaidi ya 20 za polisi na magereza
5.Makonda kajenga vyumba 450 vya madarasa na ofisi za walimu,hivyo kupandisha ufaulu kwa kiasi kikubwa
6.Makonda kasababisha zaidi ya watoto 1,000 wapate bima ya afya
7.Makonda kasaidia zaidi ya watoto 1,000 kupata matibabu ya Moto
8.Makonda kawapa yanga uwanja wa mazoezi

Hayo na mengine mengi Makonda kayafanya kwa kutumia ofisi na mengine kahamasisha wafanyabiashara mkoani kwake
Hapo ndipo utaona akili ya wajumbe wa kigamboni ilivyo mbovu kwa kukubali pesa na kumkataa mtu wa Maendeleo
Wajumbe wanatoa dira tu,vikao vya juu ndio vitaamua
 
Yaani ccm inayosema itakuwa na wabunge 90%(zaidi ya wabunge mia tatu) bunge lijalo,inakosa waziri Hadi akatwe Ndungulile asiye na kashifa wala hatia ili Bashite mwenye vyeti vya kuokoteza apitishwe agombee ubunge then apewe uwaziri!!!!!!!!!!!!!!...SASA KWA TAARIFA YAKO TANZANIA TUNA MIKOA ISIYOZIDA 26,KITENDO CHA BASHITE KUPATA NAFASI YA UKUU WA MKOA KATI YA WATU MIL 50 KWAKE NI BAHATI KUBWA SANA MAANA YAKE HIYO NI NAFASI ADHIMU KABSA ALITAKIWA KUSHUKURU MUNGU NA KURIZIKA MAYO.
 
Kwanini msifanye kinyume chake??? Huyu bogus makonda mteueni awe balozi huko vietnamu au afghanstan au somalia
Au wachukue mbegu zake za kiume wakapandishe kwa dada zao na ndugu na jamaa zao ili kuendeleza generation zao,wajumbe wa taifa kigamboni wamemkataa huyu zero brain.
 
Asafishe tuhuma za vyeti kwanza kabla ya kufikiriwa kwenye nafasi yoyote. Anaifedhehesha serikali.
Kwanza Makonda wa Nini,why him? Mtu YEYOTE anaye mtetea Makonda atakuwa mnufaika wa ule UDHALIMU alizozifanyia maiti zilizokuwa zinaelea baharini. REPORT YA CIA IMENENA DHAHILI KUWA MAKONDA NI MUUWAJI( ANANYIMA WATU HAKI YA KUISHI) HAYA YAMESEMWA NA POMPEO WAZIRI WA MAMBO NJE WA MAREKANI NA MKURUGENZI MSTAAFU WA CIA. OVER
 
Sisi wakazi wa kigamboni tunawalaani sana wajumbe kwani walitukatili sana. Chamuhimu mamlaka ya mchujo inajua umuhimu wa makonda katika siasa za tanzania hususani katika kukabiliana na yeriko kulitetea jimbo. Kama ndungulile alichemshwa na yule mama mageleli uchaguzi wa 2015 ndio atamuweza yeriko? Makonda fits for kgmbn na huu ndio mtazamo wa wapiga kura wengi wa kigamboni ambao sio wajumbe. Hata hivyo wajumbe wengi pia walimkubali makonda, Ndungulile has done less compaired ten years alizokaa. Aende kwa amani
 

Kigamboni ni Makonda wasiotaka wapitie sakata la corona na ndugulile wamwandalie ofisi ya ushauri elekezi atumikie MD yake vizuri. It's over
 
Mukiandika mrudie kusoma kabla hamjapost. Huyu alikaidi maelekezo ya JPM, labda kama JPM ana utani na sisi ndio jina lirudi vinginevyo ................ndio kajichinja.

Vipi Ndugulile na sakata la kutenguliwa?jiongeze mwamba Makonda ndio mgombea kigamboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…