Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish rumoursKwanza Makonda wa Nini,why him? Mtu YEYOTE anaye mtetea Makonda atakuwa mnufaika wa ule UDHALIMU alizozifanyia maiti zilizokuwa zinaelea baharini. REPORT YA CIA IMENENA DHAHILI KUWA MAKONDA NI MUUWAJI( ANANYIMA WATU HAKI YA KUISHI) HAYA YAMESEMWA NA POMPEO WAZIRI WA MAMBO NJE WA MAREKANI NA MKURUGENZI MSTAAFU WA CIA. OVER
Sidhani kama una akili nzuri kichwani, nenda Hosp wakakutoe huyo funza kichwani!Nashauri na kupendekeza Jina la Makonda ndio lirudi na lipeperushe bendera ya ccm jimbo la kigamboni, ni kijana ambae anaijua vizuri Dar, fitina zote anazijua, pia anaimudu vizuri kasi na maelekezo ya rais Magufuli, hii itakua ni chachu nzuri kwa utawala huu ikiwa Makonda atapata uteuzi kwa nafasi ya uwaziri, sipati picha huku Makonda kule Alexander Mnyeti, Jaffo, Kigwa, Bashe, Bashungwa mchakamcha wa hatari. Hakuna kulala, vijana wana ndoto na matamanio ya utumishi uliotukuka.
Hujui kashfa ya Ndugulile mpaka akatenguliwa?,unapingana na mwajili wako hadharani?Yaani ccm inayosema itakuwa na wabunge 90%(zaidi ya wabunge mia tatu) bunge lijalo,inakosa waziri Hadi akatwe Ndungulile asiye na kashifa wala hatia ili Bashite mwenye vyeti vya kuokoteza apitishwe agombee ubunge then apewe uwaziri!!!!!!!!!!!!!!...SASA KWA TAARIFA YAKO TANZANIA TUNA MIKOA ISIYOZIDA 26,KITENDO CHA BASHITE KUPATA NAFASI YA UKUU WA MKOA KATI YA WATU MIL 50 KWAKE NI BAHATI KUBWA SANA MAANA YAKE HIYO NI NAFASI ADHIMU KABSA ALITAKIWA KUSHUKURU MUNGU NA KURIZIKA MAYO.
Correct 100%Tunajua wauza unga walichangishana na kuingiza pesa chafu ili tu Makonda ashindwe
Haihitaji ajili ya ziada kujua Hilo,
Makonda na Ndugulile alietoka kufukuzwa kazi ya unaibu wazuri juzi Ni Makonda yupo juu sana kiutendaji
Niwekeeni Mambo mawili tu aliofanya Ndugulile akiwa mbunge na naibu wazuri.
1.Makonda kajenga Wadi ya wazazi na vitanda Amana
2.Makonda kajenga Wadi ya wazazi Mwananyamala
3.Makonda kajenga hospitali chanika
4.Makonda kafufua gari zaidi ya 20 za polisi na magereza
5.Makonda kajenga vyumba 450 vya madarasa na ofisi za walimu,hivyo kupandisha ufaulu kwa kiasi kikubwa
6.Makonda kasababisha zaidi ya watoto 1,000 wapate bima ya afya
7.Makonda kasaidia zaidi ya watoto 1,000 kupata matibabu ya Moto
8.Makonda kawapa yanga uwanja wa mazoezi
Hayo na mengine mengi Makonda kayafanya kwa kutumia ofisi na mengine kahamasisha wafanyabiashara mkoani kwake
Hapo ndipo utaona akili ya wajumbe wa kigamboni ilivyo mbovu kwa kukubali pesa na kumkataa mtu wa Maendeleo
Wajumbe wanatoa dira tu,vikao vya juu ndio vitaamua
Kwahiyo wakifanya ivyo ndiyo demokrasia? huu ndiyo ujinga unaokirudi chama kuonekana kimechoka na wakifanya kwa matakwa yao kupitisha baadhi ya majina ndiyo mipasuko isiyo na sababu inatokeaKama mwana ccm mkereketwa naomba uongozi wa juu hasa kamati kuu ya ccm, ambayo itahusika na uchujaji wa majina ya wagombea watakao peperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu October mwaka huu kwa nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni yafuatayo
Nashauri na kupendekeza Jina la Makonda ndio lirudi na lipeperushe bendera ya ccm jimbo la kigamboni, ni kijana ambae anaijua vizuri Dar, fitina zote anazijua, pia anaimudu vizuri kasi na maelekezo ya rais Magufuli, hii itakua ni chachu nzuri kwa utawala huu ikiwa Makonda atapata uteuzi kwa nafasi ya uwaziri, sipati picha huku Makonda kule Alexander Mnyeti, Jaffo, Kigwa, Bashe, Bashungwa mchakamcha wa hatari. Hakuna kulala, vijana wana ndoto na matamanio ya utumishi uliotukuka.
Baraza la mawaziri lijalo linahitaji vijana zaidi kukimbiza, isipokua kwa nafasi ya waziri mkuu, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya nje na waziri wa sheria wawe watu wazima kutokana na unyeti wa wizara hizo.
Ndugulile ateuliwe kuwa balozi nchi yoyote huko Ulaya, na aachwe kipindi chote cha miaka mitano, asitumbuliwe, cha msingi atimize majukumu yake kwa ufanisi wa hali ya juu.
Ni maoni yangu tu, si lazima kuyazingatia
First class na economy ni sawa mkuu?Hakushindwa ule ni mchakato wa mwanzo kabisa kuelekea teuzi na alishika nafasi pili,bado nae ni mshindi kwenye tatu bora
Rubbish rumours
ngoja tuone kama wataingizwa wote watatu..Nafasi za washindi huwa ni tatu, popote pale duniani ,hutaki acha
Only time will tellVipi Ndugulile na sakata la kutenguliwa?jiongeze mwamba Makonda ndio mgombea kigamboni
Upande wa ubunge Ndugulile kashindwa ,ajaribu na ubalozi ,Makonda kama RC kawezaMie nashauri Makonda apewe ubalozi nchi za Ulaya mfano UK kwa Malkia kisha asitumbuliwe kwa miaka yote mitano, Ndungulile aendelee na ubunge wake. Kufanya hivyo kutamuwezesha Makonda atuletee wawekezaji wengi sana ktk sekta za biashara na madini kwa kuwa atakuwa karibu nao zaidi huko Ulaya na tayari alishaonesha nia hiyo ya kuleta wawekezaji alipokuwa RC
Nani alikwambia kura za maoni ndio zinaamua mshindi?Kama vipi basi tungeni sheria jimbo hilo liwakilishwe na wabunge wawili au mligawe mfano Kigamboni kaskazini na Kigamboni kusini ili na aliyeshindwa kura za maoni apate sababu ya kuwa mbunge.
Nafasi za washindi huwa ni tatu, popote pale duniani ,hutaki acha
Ukiaambiwa weka proof unajichimbia ardhini usionekane
Hao unaowaita washindi watatu wote wana hadhi sawa??? Kama ni ligi wote wanapata zawadi sawa???Nafasi za washindi huwa ni tatu, popote pale duniani ,hutaki acha