Uchaguzi 2020 Mapendekezo, maoni, ushauri kwa CC ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu hususani Jimbo la Kigamboni

Rubbish rumours
 
Sidhani kama una akili nzuri kichwani, nenda Hosp wakakutoe huyo funza kichwani!
Ndugulile amekuwa mbunge miaka 10 na ni mkazi wa miaka yote Kigamboni.
Ndugulile amedhihirisha tena kuwa anapendwa sana huko kwa kuwashinda wote.
Sasa unaposema apokonywe ushindi wake ni dhuluma na upungufu wa akili.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Hujui kashfa ya Ndugulile mpaka akatenguliwa?,unapingana na mwajili wako hadharani?
 
Correct 100%
 
Kwanini msifanye kinyume chake??? Huyu bogus makonda mteueni awe balozi huko vietnamu au afghanstan au somalia
Huko watakwenda wazazi wako
 
Kwahiyo wakifanya ivyo ndiyo demokrasia? huu ndiyo ujinga unaokirudi chama kuonekana kimechoka na wakifanya kwa matakwa yao kupitisha baadhi ya majina ndiyo mipasuko isiyo na sababu inatokea
 
Kama vipi basi tungeni sheria jimbo hilo liwakilishwe na wabunge wawili au mligawe mfano Kigamboni kaskazini na Kigamboni kusini ili na aliyeshindwa kura za maoni apate sababu ya kuwa mbunge.
 
Mie nashauri Makonda apewe ubalozi nchi za Ulaya mfano UK kwa Malkia kisha asitumbuliwe kwa miaka yote mitano, Ndungulile aendelee na ubunge wake. Kufanya hivyo kutamuwezesha Makonda atuletee wawekezaji wengi sana ktk sekta za biashara na madini kwa kuwa atakuwa karibu nao zaidi huko Ulaya na tayari alishaonesha nia hiyo ya kuleta wawekezaji alipokuwa RC
 
Upande wa ubunge Ndugulile kashindwa ,ajaribu na ubalozi ,Makonda kama RC kaweza
 
Kama vipi basi tungeni sheria jimbo hilo liwakilishwe na wabunge wawili au mligawe mfano Kigamboni kaskazini na Kigamboni kusini ili na aliyeshindwa kura za maoni apate sababu ya kuwa mbunge.
Nani alikwambia kura za maoni ndio zinaamua mshindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…