Uchaguzi 2020 Mapendekezo, maoni, ushauri kwa CC ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu hususani Jimbo la Kigamboni

Ametoa hotuba nzuri sana leo wakati wa kukabidhi ofisi.
Ameeleza mipango ya sasa na ya baadae ikiwemo yeye mwenyewe binafsi kuwa mlinzi wa rais([emoji1787]). Amesema hata kama ni satisa za usiku aamshwe kwenda kumlinda rais.
Pia ameonyesha uwezo mkubwa wa kuongoza pale alipo ng'amua kuhusu idadi ya wambea wa Dsm.
Amesema 70% ya wana Dsm ni wambea.
Hivi ile machinjio ya vingunguti imeisha? Hope hela zilizobaki pia amekabidhi.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kituko juu ya kituko ,,hatari sana.
Kajamaa hakana kitu , kanajua kusifia tu nahizo kazi zake za chini ya kapeti.
 
Waziri mtarajiwa ,bado hamjasema ,safari hii wengine pressure na kisukari vinaenda kuwauwa
 
DAR makonda HATAKIWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…