Hapo wapi? 😁 😁 😁Ninaambiwa hapa
Watanzania hampishani ktk kuwaza kwenuHAMKAI HATA SEKUNDE KUMUWAZA MNYAMA???
ITAKUWA MNYAMA WA MBUGA ANA WANYOSHA KI SAWASAWA.
ANAKAMUA VIZURI MME WENU.
Kama ambavyo pia viongozi wa ihefu walivyokuwa wanapanga vikosi na yeye kukalishwa benchi.Viongozi ndio wanapanga kikosi kama alivyosema Okwa [emoji28]
Tumekuelewa mrs robertinyo.Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.
Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.
Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.
Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.
Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.
Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.
Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Sawa mrs robertinew.Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.
Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.
Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.
Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Halafu Kila siku wanaanzisha nyuzi mara Simba imepoteza mvuto, au Simba inaifatilia yanga kumbe ni vice versaHAMKAI HATA SEKUNDE KUMUWAZA MNYAMA???