Mapendekezo Ripoti ya Robertinho: Chama Asiongezewe Mkataba! Aachwe

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.

Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.

Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.

Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
 
HAMKAI HATA SEKUNDE KUMUWAZA MNYAMA???

ITAKUWA MNYAMA WA MBUGA ANA WANYOSHA KI SAWASAWA.

ANAKAMUA VIZURI MME WENU.
 
Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.

Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.

Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.

Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Tumekuelewa mrs robertinyo.
 
Sawa mrs robertinew.
 
Naona umeitoa kwa Momo.Wakati Simba wana umiza kichwa kumpata kipa naona Robertihno anataka kuwavuruga, upande wa kiungo.
 
Nyie mbumbu mnataka chama azeke akiwa simba kama wakiona sahihi kumtoa muacheni aondoke so sio lazma mumlazimishe abaki
 
Back
Top Bottom