Kiasi flabi Chama ameshuka japo kushuka au kupabda kwa kiwango huwa inategemea mahusiano ya coach na mchezaji.Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.
Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.
Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.
Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Ricardo Momo.momo ndio nini?
Kwa aina ya mpira anaoutaka huyo kocha, ni sahihi kabisa kumkataa Chama.Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.
Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.
Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.
Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Mtangazaji.Ndio nani huyo!
Katangaza.Ndio kafanyaje?
Kabisa, mchezaji asiyepangwa hata na taifa lake ana nini?Kweli Chama ni mzi≈to sana anapaswa aachwe, ila tatizo sisi mashabiki na kidomo domo hatutaelewa akiachwa afu tufungwe
Mbona sakata la Feitoto mlitumia Kila nguvu kumbakishaNyie mbumbu mnataka chama azeke akiwa simba kama wakiona sahihi kumtoa muacheni aondoke so sio lazma mumlazimishe abaki
Anatangaza nini?Mtangazaji.
Mchezaji anaweza kua mzuri lakini coach hamutakiMechi ya mwisho Simba na Yanga ya goli la pili la Kibu De, angalia pasi aliyoitoa Chama kwa Baleke aliyekosa goli la wazi la kupress.
Angalia ile assist ya Chama halafu uje hapa uongee kuwa Chama ana kasi au la.
Chama akiachwa leo timu ya kwanza kumbembeleza ili imsajiri ni Yanga.
Raisi wa Yanga Hersi Saidi alikiri hilo hadharani kwa kinywa chake.
Eti Chama hana kasi. Kama wachezaji wenye kasi mbona mnamwacha Tuisila Kisinda.
Mchezaji mwenye kasi zaidi katika ligi ya Tanzania.