Mapendekezo Ripoti ya Robertinho: Chama Asiongezewe Mkataba! Aachwe

Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.

Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.

Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.

Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Kiasi flabi Chama ameshuka japo kushuka au kupabda kwa kiwango huwa inategemea mahusiano ya coach na mchezaji.
Iliwahi kusemwa kuwa Robert na Chama kama vile hamkubali.

Mwalimu asikilizwe kuepusha migogoro kwani kila team itakapofanya vibaya atawalaumu uongozi kulazimisha baadhi ya wachezaji kubaki
 
Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho.

Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake na mipango yake pale Simba kwa msimu ujao.

Moto unawaka kwenye vikao vyao vya ndani kuona ni namna gani wanaweza timiza matakwa ya kocha mzungu.

Je ni kweli kuwa kwa uwezo wa Chama wa msimu huu haumshawiahi mwalimu kumtumia katika michuano ya msimu ujao?
Kwa aina ya mpira anaoutaka huyo kocha, ni sahihi kabisa kumkataa Chama.

Maana kocha ni muumini wa mpira wa kasi, hivyo sidhani kama atapendezwa na kiungo aina ya Chama (maarufu kwa jina la kiungo konokono)

Wachezaji wenye uhakika wa namba msimu ujao, ni aina ya Kibudenga! Yaani wale wanaokimbia uwanajani mpaka wanausahau mpira nyuma.
 
Kweli Chama ni mzi≈to sana anapaswa aachwe, ila tatizo sisi mashabiki na kidomo domo hatutaelewa akiachwa afu tufungwe
Kabisa, mchezaji asiyepangwa hata na taifa lake ana nini?
 
Mechi ya mwisho Simba na Yanga ya goli la pili la Kibu De, angalia pasi aliyoitoa Chama kwa Baleke aliyekosa goli la wazi la kupress.
Angalia ile assist ya Chama halafu uje hapa uongee kuwa Chama ana kasi au la.
Chama akiachwa leo timu ya kwanza kumbembeleza ili imsajiri ni Yanga.
Raisi wa Yanga Hersi Saidi alikiri hilo hadharani kwa kinywa chake.

Eti Chama hana kasi. Kama wachezaji wenye kasi mbona mnamwacha Tuisila Kisinda.
Mchezaji mwenye kasi zaidi katika ligi ya Tanzania.
 
Mchezaji anaweza kua mzuri lakini coach hamutaki
 
Back
Top Bottom