Hapana. Raisi ni amiri jeshi mkuu. Kuna utofauti kati ya raisi na mkuu wa mkoa .. Tambua hiloSasa Si Wako Kwa Niaba Ya Raisi. Kama Hvo Ndvo Basi Ata Jiwe Aondoke Kwenye Sekta Ya Ulinzi. Kulingana Na Mawazo Yako
Aaa Haya Sawa NdukiiHapana. Raisi ni amiri jeshi mkuu. Kuna utofauti kati ya raisi na mkuu wa mkoa .. Tambua hilo
We sema Makonda aache tabia ya kiherehere na kuingilia mambo yasiyo muhusu. Kamati za ulinzi na Usalama sio za Jana au juzi, na mamlaka yake ni ya kiushauri tuu sio ya kuingilia kazi za kiuchunguzi.Habari wakuu.
Nafikiri umefika muda wa Serikali yetu kuliangalia hili suala la wakuu wa Mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa, haya ni madaraka yanayoingiliana moja kwa moja na Jeshi la Polisi, na wote tunajua ya kuwa wateule hawa wengi wao hawana mafunzo ya kijeshi, hata kwenye maamuzi na vikao vya Jeshi la Polisi hawatakiwa kabisa kuhudhuria sababu ya itikadi zao za kisiasa, hii ni moja ya sababu kuu inayofanya jeshi letu tukufu kudharauliwa na kushushiwa heshima yake.
Nawasilisha hoja, niko tayari kurekebishwa kwa mwenye ufahamu wowote kuhusu hili .
Kuwepo kwao kwa niaba ya rais siyo ulali wa kuwa mkuu wa polisi mkoa. Wasiingilie polisi. Kwani mkuu wa mkoa analinda nn kama siyo mambo ya kisiasa wa kutishia raiaSasa Si Wako Kwa Niaba Ya Raisi. Kama Hvo Ndvo Basi Ata Jiwe Aondoke Kwenye Sekta Ya Ulinzi. Kulingana Na Mawazo Yako
Sawa, NimekuelewaKuwepo kwao kwa niaba ya rais siyo ulali wa kuwa mkuu wa polisi mkoa. Wasiingilie polisi. Kwani mkuu wa mkoa analinda nn kama siyo mambo ya kisiasa wa kutishia raia
We sema Makonda aache tabia ya kiherehere na kuingilia mambo yasiyo muhusu. Kamati za ulinzi na Usalama sio za Jana au juzi, na mamlaka yake ni ya kiushauri tuu sio ya kuingilia kazi za kiuchunguzi.
Jee mikoa kama Kigoma au Kagera Usalama wa mipaka kukitokea jambo LA kuhusisha JWTZ huyo RC atageuka msemaji wa jeshi?
Tuwe wakweli tuu, ni Makonda mwenye tabia za ajabu kuingilia Nazi za polisi na kujifanya msemaji wao.
Aache mara moja
Tufanye linalowezekana kwa sasa, kwa sasa ipo serikali ya CCM, na hio ndo tunayoiomba ibadilishe iyo sheriaEti serikali ibadilishe ... madaraka hutoka kwa wananchi na ndio wenye uwezo wa kufanya hivyo kwa kuchagua vyama mbadala and therefore Constitution change. As long as wananchi wameamua chama kilichopo madarakani maana yake wamekubali na mifumo iliyopo ya kiutawala.
Kaka umeenda mbali sana 2025, kwa nini huyo mungu tusimuombe atuletee muungwana keshokutwa 2020Kama serikali unayoishauri ndio hii basi tambua hayo wanayoyafanya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio sehemu ya utendaji wenyewe katika awamu hii.
Kutia watu ndani na kuwahangaisha wapinzani na kuwatetea CCM kupitia polisi ndio vipaumbele vyenyewe na asiyeweza hayo hana sifa ya kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya.
Huu ushauri wako ni mzuri sana ila sio kwa serikali hii labda usubiri mwaka 2025 kama Mungu atatusaidia kutuletea waungwana.
Kaka umeenda mbali sana 2025, kwa nini huyo mungu tusimuombe atuletee muungwana keshokutwa 2020
Mkuu wa Mkoa kiherehere Nchi nzima ni huyo Daudi Bashite..Habari wakuu.
Nafikiri umefika muda wa Serikali yetu kuliangalia hili suala la wakuu wa Mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa, haya ni madaraka yanayoingiliana moja kwa moja na Jeshi la Polisi, na wote tunajua ya kuwa wateule hawa wengi wao hawana mafunzo ya kijeshi, hata kwenye maamuzi na vikao vya Jeshi la Polisi hawatakiwa kabisa kuhudhuria sababu ya itikadi zao za kisiasa, hii ni moja ya sababu kuu inayofanya jeshi letu tukufu kudharauliwa na kushushiwa heshima yake.
Nawasilisha hoja, niko tayari kurekebishwa kwa mwenye ufahamu wowote kuhusu hili .
Huko Tarime DC alimtuma OCD kwenda kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo kuwapora madini kisha kuwabambikia kesi ili pindi wakiwa jela kuna matajiri wa madini rafiki zake DC na OCD wakatumia fursa hizo kwenda kuwaibia madini kisha kugawana faida, baada ya siri kufichuka ndipo DC akazuga kwenda kufunga Mgodi kwa kisingizio kuwa kuna mgogoro wakati hakukuwa na migogoro zaidi ya Polisi kutumwa na matajiri wa madini kuwapiga watu ili vurugu zitokee wapate visingizio vya kuwaonea wananchi wanyonge masikini, huo ni mfano wa matumizi mabaya ya DC na RC kuwa wenyeviti wa kamati za Ulinzi na usalama huzitumia vibaya kuwanyanyasa wananchi.Habari wakuu.
Nafikiri umefika muda wa Serikali yetu kuliangalia hili suala la wakuu wa Mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa, haya ni madaraka yanayoingiliana moja kwa moja na Jeshi la Polisi, na wote tunajua ya kuwa wateule hawa wengi wao hawana mafunzo ya kijeshi, hata kwenye maamuzi na vikao vya Jeshi la Polisi hawatakiwa kabisa kuhudhuria sababu ya itikadi zao za kisiasa, hii ni moja ya sababu kuu inayofanya jeshi letu tukufu kudharauliwa na kushushiwa heshima yake.
Nawasilisha hoja, niko tayari kurekebishwa kwa mwenye ufahamu wowote kuhusu hili .
Tunabadilisha sheria, sabab ni sheria mbovu, na pia nimependekeza hivyo ili isijirudie tena huko mbeleMkuu wa Mkoa kiherehere Nchi nzima ni huyo Daudi Bashite..
Huyu ndio adhibitiwe.
Hakuna haja ya kubadilisha hizo sheria sababu ya chizi mmoja ambaye hana malezi mazuri.
Tanzania yangu, watu wangu wanakosa maarifaHuko Tarime DC alimtuma OCD kwenda kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo kuwapora madini kisha kuwabambikia kesi ili pindi wakiwa jela kuna matajiri wa madini rafiki zake DC na OCD wakatumia fursa hizo kwenda kuwaibia madini kisha kugawana faida, baada ya siri kufichuka ndipo DC akazuga kwenda kufunga Mgodi kwa kisingizio kuwa kuna mgogoro wakati hakukuwa na migogoro zaidi ya Polisi kutumwa na matajiri wa madini kuwapiga watu ili vurugu zitokee wapate visingizio vya kuwaonea wananchi wanyonge masikini, huo ni mfano wa matumizi mabaya ya DC na RC kuwa wenyeviti wa kamati za Ulinzi na usalama huzitumia vibaya kuwanyanyasa wananchi.
Serikali ipo kikatiba na mabadiliko makubwa maana yake ni mabadiliko ya katiba. Msimamo rasmi wa serikali ni katiba (mpya) sio kipaumbele chake.Tufanye linalowezekana kwa sasa, kwa sasa ipo serikali ya CCM, na hio ndo tunayoiomba ibadilishe iyo sheria