Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kwako wewe hauna umuhimu kwa wengine una umuhimu mkubwa sanaHatuhitaji uraia pacha....uraia pacha sioni umuhimu wake
Kama hupendi kitu/jambo usilazimishe watu wengine wakichukie unauhuru wa kukichukia ila usilazimishe wengine wakichukieUmuhimu wake kwa nyie wengine upo wap?uraia wa nchi yako umeukana mwenyewe and then unataka upatiwe tena???
BridgerSerekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja
Kuwekeza na kumiliki ni vitu viwil tofautiWengi waliopo nje sidhani kama wana shida ya siasa za nyumbani maana tunaona hazina faida kabisa zaida ya ujanja ujanja tu
Kuhusu ardhi hapo umekosea kabisa maana wengi wana hela za kuwekeza kwenye ardhi kama miradi ya ujenzi au mashamba makubwa makubwa ya kisasa
Eka moja nichezee tennis [emoji462] ama
uraia wa nchi yako umeukana mwenyewe and then unataka upatiwe tena???
Kwan hata sahivi watu wameshikilia amapande ya ardhi kwa mwavuli wa uwekezaniFact
Watu wabanane Tanganyika kwa sababu eti ardhi imeshikiliwa na wahamiaji wako Scotland
Over our cold dead bodies
Sijalazimisha mtu mwingine akichukie,nimetoa mawazo yangu tu....nilitegemea ungeniambia faida za uraia pacha na hasara pia. Sorry kwa utofauti wangu bro.Kama hupendi kitu/jambo usilazimishe watu wengine wakichukie unauhuru wa kukichukia ila usilazimishe wengine wakichukie
Fact bro!Hyo ni mojawapo tu ya hasara nadhan zitakuwepo nyng zaidi...haiwezekan kitu ukikatae and then utake kupita mlango wa nyuma ukiombe tena....kuna namna haipo sawaFact
Watu wabanane Tanganyika kwa sababu eti ardhi imeshikiliwa na wahamiaji wako Scotland
Over our cold dead bodies
Hizo nchi nyingine nyingi ambazo wanaruhusu uraia pacha mbona hamna malalamiko hayo yakoFact bro!Hyo ni mojawapo tu ya hasara nadhan zitakuwepo nyng zaidi...haiwezekan kitu ukikatae and then utake kupita mlango wa nyuma ukiombe tena....kuna namna haipo sawa
Kuwekeza unakuwa na mkataba piaKuwekeza na kumiliki ni vitu viwil tofauti
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja
Wewe masikini ndio utataabika. MATAJIRI wakubwa, Wahindi Wasomali na Wanasiasa wa Bongoland Wana uraia wa nchi nyingi tu.Hatuhitaji uraia pacha....uraia pacha sioni umuhimu wake
Hiyo ya tatu acha upuuzi.Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
- Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kumiliki ardhi zaid ya eka moja
Kwanini hauoni umuhimu wake?Hatuhitaji uraia pacha....uraia pacha sioni umuhimu wake