Mapendekezo: Serikali iruhusu uraia pacha kwa kuzingatia masharti yafuatayo

Mapendekezo: Serikali iruhusu uraia pacha kwa kuzingatia masharti yafuatayo

Wewe masikini ndio utataabika. MATAJIRI wakubwa, Wahindi Wasomali na Wanasiasa wa Bongoland Wana uraia wa nchi nyingi tu.
Tena wahindi unakuta wana uraia wa Tanzania, India na Uingereza. Wanatumia uraia husika pale penye faida.
 
Upuuzi kivip tatizo watanzania uoga ndo unaowasumbua
Pigeni Muziki kwa sauti za chini, mnajua nyie wakevi sisi tunawaaminieni sana? Sijui hizo akili za kilokole za kupigapiga makelele mmezitoa wapi?
 
Hatutaki, hatutaki tena hatutaki kabisa!
Maana waarabu na a
Wahindi watatumaliza walahi!
Angalia deep kwenye hii issue
Sio hao vijitu vitatu vilivyo marekani!
Allah!
 
Hatutaki, hatutaki tena hatutaki kabisa!
Maana waarabu na a
Wahindi watatumaliza walahi!
Angalia deep kwenye hii issue
Sio hao vijitu vitatu vilivyo marekani!
Allah!
Kwani uraia Pacha una hasara gani?
 
Mimi nina jamaa zangu wa karibu sana wana uraia wa Canada, Uengereza, Marekani, Arabuni na Wengine South Afrika.Australia. na wote walizaliwa TZ. Sasa watu hawa ukiwapa haki yao ya Kuzaliwa utawasaidia wao na kuisaidia nchi Yetu. Kila watakachokivuna huko wataleta Nyumbani.
Philipines, na India wanatumia Mfumo huu , nchi zao zinaneemeka sana.
Maisha Popote ilimradi Maslahi ya mtu yawepo.
Wewe ukiona TZ hapakuweki , wenzako wanapataka.
Hivi ndivyo dunia ilivyo.
 
Kwanini hauoni umuhimu wake?

Elekeza hoja zako kupinga uwepo wa uraia pacha.
Kusema sion umuhimu wake ni hoja tosha.....maana sio muhimu,ww ndio unatakiwa uniambie umuhimu wake ni upi?
Wewe masikini ndio utataabika. MATAJIRI wakubwa, Wahindi Wasomali na Wanasiasa wa Bongoland Wana uraia wa nchi nyingi tu.
Wanafaidika vp kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja?au ni status tu na kutaka kufaidika kwa kile kingine ambacho wengine hawafaidiki nacho
 
Kusema sion umuhimu wake ni hoja tosha.....maana sio muhimu,ww ndio unatakiwa uniambie umuhimu wake ni upi?
Wanafaidika vp kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja?au ni status tu na kutaka kufaidika kwa kile kingine ambacho wengine hawafaidiki nacho
Tanzania ni shamba la kuchuma, maisha huko mbele
 
Back
Top Bottom