Tena wahindi unakuta wana uraia wa Tanzania, India na Uingereza. Wanatumia uraia husika pale penye faida.Wewe masikini ndio utataabika. MATAJIRI wakubwa, Wahindi Wasomali na Wanasiasa wa Bongoland Wana uraia wa nchi nyingi tu.
Upuuzi kivip tatizo watanzania uoga ndo unaowasumbuaHiyo ya tatu acha upuuzi.
Pigeni Muziki kwa sauti za chini, mnajua nyie wakevi sisi tunawaaminieni sana? Sijui hizo akili za kilokole za kupigapiga makelele mmezitoa wapi?Upuuzi kivip tatizo watanzania uoga ndo unaowasumbua
Kwani uraia Pacha una hasara gani?Hatutaki, hatutaki tena hatutaki kabisa!
Maana waarabu na a
Wahindi watatumaliza walahi!
Angalia deep kwenye hii issue
Sio hao vijitu vitatu vilivyo marekani!
Allah!
Kusema sion umuhimu wake ni hoja tosha.....maana sio muhimu,ww ndio unatakiwa uniambie umuhimu wake ni upi?Kwanini hauoni umuhimu wake?
Elekeza hoja zako kupinga uwepo wa uraia pacha.
Wanafaidika vp kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja?au ni status tu na kutaka kufaidika kwa kile kingine ambacho wengine hawafaidiki nachoWewe masikini ndio utataabika. MATAJIRI wakubwa, Wahindi Wasomali na Wanasiasa wa Bongoland Wana uraia wa nchi nyingi tu.
Tanzania ni shamba la kuchuma, maisha huko mbeleKusema sion umuhimu wake ni hoja tosha.....maana sio muhimu,ww ndio unatakiwa uniambie umuhimu wake ni upi?
Wanafaidika vp kuwa na uraia wa nchi zaidi ya moja?au ni status tu na kutaka kufaidika kwa kile kingine ambacho wengine hawafaidiki nacho