Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

Kocha amejiamini mno kupanga kikosi kile. Mohamed Hussein na Gyan si watu wa kukaba na mzigo mzito unabakia kwa Wawa na Juuko. Mechi za ugenini zenye pressure timu ipangwe kiulinzi zaidi. Nilivyoona upangaji wa timu tu nikajua kuna mvua ya magoli hasa kwa jinsi nilivyofuatilia jinsi Vita walivyocheza baadhi ya mechi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…