magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Na kuteseka unakaa mda gani maana toka mbabane swallow Hadi Leo ushateseka sanaNa uzuri furaha ya Simba kufungwa huwa inadumu miezi hata miwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuteseka unakaa mda gani maana toka mbabane swallow Hadi Leo ushateseka sanaNa uzuri furaha ya Simba kufungwa huwa inadumu miezi hata miwili.
Bado anateseka tu ...Na kuteseka unakaa mda gani maana toka mbabane swallow Hadi Leo ushateseka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio naisha kinyume mukuu mimi ni mutu ya bukavu
Al Ahly anaongoza Mikia ya pili ikiwa na match moja ya kiporo mkononi.Msimamo wa group d Hadi jana upo vipi?
Utaugua sana huu mwaka wwAl Ahly anaongoza Mikia ya pili ikiwa na match moja ya kiporo mkononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichuya namkataa labda aniproove wrongHatuendi kuzuia... ndugu weka hv_
Manula
Gyan
Wawa
Juurko
Zimbwe
Kotei
Mkude
Chama
Okwi
Kagere
Kichuya.
Sub:- dida, bukaba, mzamiru, haruna, dilunga,salamba,juma,mlipili
Kweli kashuka sana uwezo.. ila anachangamsha team na anakaba.
Wenzio hawataki... ila wewe sio waoPamoja na kwamba siipendi simba lakini naiombea ipate angalau ushindi maana yeye ndo mwakilishi wetu pekee kwenye club bingwa
Pia naitakia ushindi yanga yangu leo kule shinyanga
Daima mbele nyuma mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuone ndugu game itakuwajeHatuendi kuzuia ni lugha ya kuwaandaa AS Vita kisaikolojia tu ila unapokuwa ugenini unacheza na timu kama ile lazima nguvu kubwa iwe kwenye ulinzi na kushambulia inakuwa kwa mahesabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina ...nimekusomaKichuya sio sahihi kuanza lazima tunaheshimu kidogo wapinzani...mzamiru Yasin Kama akiwa katika ubora angeanza ili acheze shimoni na kotei pamoja na mkude ili kuongeza nguvu kwenye kiungo na kuweka uwiano mzuri wa kulinda na kushambulia Leo ni kuwashambulia kwa mipira ya kasi kupitia okwi pembeni na mirefu kupitia kagere fomesheni ya 4-5-1 ingefaa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app