Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

Pamoja na kwamba siipendi simba lakini naiombea ipate angalau ushindi maana yeye ndo mwakilishi wetu pekee kwenye club bingwa

Pia naitakia ushindi yanga yangu leo kule shinyanga
Daima mbele nyuma mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichuya sio sahihi kuanza lazima tunaheshimu kidogo wapinzani...mzamiru Yasin Kama akiwa katika ubora angeanza ili acheze shimoni na kotei pamoja na mkude ili kuongeza nguvu kwenye kiungo na kuweka uwiano mzuri wa kulinda na kushambulia Leo ni kuwashambulia kwa mipira ya kasi kupitia okwi pembeni na mirefu kupitia kagere fomesheni ya 4-5-1 ingefaa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Amina ...nimekusoma
 
Back
Top Bottom