Mapendekezo ya kuisaidia Yanga kuinua kiwango chao cha soka yanahitajika

Mapendekezo ya kuisaidia Yanga kuinua kiwango chao cha soka yanahitajika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tunawaomba wadau wa soka wote wa ndani na nje ya nchi kuisaidia timu ya Yanga katika kipindi chake kigumu inachopitia , timu hii kiukweli haikuwa na kocha , Kaze hakuwa kocha , hajui chochote kuhusu soka na sidhani kama alifurahia kazi aliyopewa .

Tunawaomba wapenda soka hata kwa gharama zenu itafutieni yanga kocha mzuri wa soka kwa lengo la kuinua soka nchini Tanzania .
 
Uko sahihi ila sio kuwa kaze sio kocha, bali wachezaji wengi pale ni average.
 
Waandae timu kwa miaka mitatu ijayo na sio kuwaza ubingwa.
 
Azam au Namungo ndio zinastahili kuinuliwa lakini si utopolo.Utopolo haijawahi kuwa serious na soka.Kipindi wanashiriki kimataifa walikuwa wanafurahia kupanda ndege tu na si kufika mbali, Walikuwa wanafungwa 4G na akina Gormahia tena CAF confederation. Utopolo hata ikishuka daraja ni sawa tu na nitafurahi sana.
 
Tatizo la yanga siyo kocha bali mfumo wa kuendesha timu. Timu inatakiwa kuendeshwa kama kampuni na kibiashara na siyo kama chama ambavyo mara nyingi huendeshwa inefficiently.

Ikiendelea hivi itakuja kuachwa mbali na timu zinazojiendesha kama biashara.
 
Mtulie mwanze kujenga team taratiibu, na sio kila msimu mnaleta wachezaji 10 wapya halafu mnategemea kuchukua ubingwa haiwezekani, kingine mashabiki waache kujifananisha na Simba kwamba Simba akishinda hata mechi za kimataifa na Yanga wanataka ishinde mnawapa preasure benchi la ufundi bure. Na pia muache kulialia mnapohojiwa na vyombo vya habari ipeni team yenu moyo.
 
Pendekezo la Kwanza Mwaka Atoke,
La pili Wawaombe msamaha marefarii kwa kuwasingizia kumbe tatizo ni Kocha.
Tatu ubingwa ukikosekana wasihangaike wamuone INJINIA anayo majibu.
 
Azam au Namungo ndio zinastahili kuinuliwa lakini si utopolo.Utopolo haijawahi kuwa serious na soka.Kipindi wanashiriki kimataifa walikuwa wanafurahia kupanda ndege tu na si kufika mbali, Walikuwa wanafungwa 4G na akina Gormahia tena CAF confederation. Utopolo hata ikishuka daraja ni sawa tu na nitafurahi sana.
Naona umekuwa ni kiumbe msahaulifu sana! Unawafahamu Ud Songo? Unafahamu chimbuko na umaarufu wa neno Khamsa Khamsa!!!!
 
Naona umekuwa ni kiumbe msahaulifu sana! Unawafahamu Ud Songo? Unafahamu chimbuko na umaarufu wa neno Khamsa Khamsa!!!!
Pamoja na simba kufungwa khamsa tena na magiants lakini ilifanikiwa kutinga robo. Vile vile ilipotolewa na ud songo msimu wa juzi msimu huu haijarudia kosa. Sasa utopolo mlikuwa mnafungwa 4g na average team kama gormahia halafu mashabiki mnafurahia kupanda ndege tu.
 
Hiyo KHamsa maana yake nini ?
Mimi ni Msambaa na Mkatoliki mkuu. Sina mafungamano kabisa na Waarabu. Iwe ni khamsa, hamsa!!

Bado nitakuwa sipo nje sana ya maana halisi ya walicho wafanyia Al Ahly na As Vita wakati ule.
 
unaweza kutuwekea hapa alichowahi kukifanya kwenye soka
Cedric Kaze alishawahi kupewa tuzo ya cocha bora wa Afrika ya mashariki na Kati.
Tatizo alikubali kufundisha Utopolo timu ya hovyo kuliko! Tazama profile yake hapa:

Cedric Kaze​

Coach Kaze is a License A coach from the African Football Confederation (CAF) and the German Soccer Federation (DFB). His years of experience in different aspects of the game make him a great addition to our team!

Cedric-Caze-sie-840x1024.jpg

Playing Accolades:Coaching History:
  • Analyst for the 2009 U-21 World Cup champion German National squad. He covered players like Ozil, Kroos, Khedira, Neuer, and Hummels.
  • 70 appearances from 2009-2015 coaching U17 to U23 Burundi National senior teams.
  • Awarded best coach in East and Central Africa in 2012.

 
Back
Top Bottom