Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mbona 560 ni machache? Tunataka Mabalozi wa Nyumba Kumi ndio wawe Wabunge! Daaadeki!!Ninachokiona majimbo yote 230 yatagawanywa na hii tume fake ya kijiga yawe 460 na hakuna la maana wanachoenda kufanya, kama majimbo ni makubwa si watuachie sisi tupo tayari kuzunguka Wilaya nzima, Zanzibar nao watayagawa yawe 100 jumla tutakuwa na majimbo ya uchaguzi 560
Hatari sn mkuuMbona 560 ni machache? Tunataka Mabalozi wa Nyumba Kumi ndio wawe Wabunge! Daaadeki!!