ajir ya ualimu interview unaikuta kazin kwa wanafunziNashangaa watu wanashindwa kuelewa simple instruction kama hii. Sijui wali ajiriwa vip? Ama ndo kama ajira za ualimu hakuna ìnterview?
Hapana sio kila mfanyakaziAlmost Mpango ameongeza sh 51,000 kila Mtanzania.
Toto kumbe bado hujaacha ukorof ehFanya hesabu mkuu au huna kalkuleta nikuletee?
😀 😀 😀 😀 ,Wasaidie tu mkuu usiwashangae sana...Nashangaa watu wanashindwa kuelewa simple instruction kama hii. Sijui wali ajiriwa vip? Ama ndo kama ajira za ualimu hakuna ìnterview?
Hii kwa wote waliojariwa either serekali ama tasisi binafsi ambao wanakata kodi ya PayeSio wafanyakazi walioajiriwa, ni wafanyakazi wa umma tu. Kuna watu wameajiriwa na taasisi/asasi binafsi, wao hawahusiki hapa.
OkHii kwa wote waliojariwa either serekali ama tasisi binafsi ambao wanakata kodi ya Paye
Utani mkubwa huoHapana sio kila mfanyakazi
Kuanzia kipato cha 1,100,000 kuendelea ndio wameongezewa 51,600.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waajiriwa hili neno MFANYAKAZI wamelichukua kama lao kumbe hata mponda kokoto na mkulima nae ni MFANYAKAZI, wao ni WATUMISHI kwa kuwa wanafanya kazi zisizo za kwao kwa malipoSio kila mfanyakazi, ni wafanyakazi walioajiriwa tu.
Mimi pia nafanya kazi za kilimo ni mfanyakazi niliyejiajiri.
Toto kumbe bado hujaacha ukorof eh
[emoji16][emoji16][emoji16] unanifurahishaga sana we mtoto jamanHapana huyo mkuu ndio amenishangaza hesabu rahisi hivyo imemshinda.
Kwani pay as u earn wanayotozwa wafanyakazi wa umma ni tofauti taasisi binafsi?Sio wafanyakazi walioajiriwa, ni wafanyakazi wa umma tu. Kuna watu wameajiriwa na taasisi/asasi binafsi, wao hawahusiki hapa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16] unanifurahishaga sana we mtoto jaman
Ipo clear sana.. ni suala la matumizi ya excel lakini mtu anakuambia siwezi😀 😀 😀 😀 ,Wasaidie tu mkuu usiwashangae sana...
Ndo mana wanakuwaga slow slow eehajir ya ualimu interview unaikuta kazin kwa wanafunzi