Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

Nashangaa watu wanashindwa kuelewa simple instruction kama hii. Sijui wali ajiriwa vip? Ama ndo kama ajira za ualimu hakuna Γ¬nterview?
 
Masihara yameboreshwa, kama mtu huwezi kujenga comfortably hata kijumba cha vyumba viwili ndani ya miaka 5 au hata kununua boda boda ya milioni 2, bado hakuna mshahara hapo, ni masihara...teh..
 
Sio wafanyakazi walioajiriwa, ni wafanyakazi wa umma tu. Kuna watu wameajiriwa na taasisi/asasi binafsi, wao hawahusiki hapa.
Kwani pay as u earn wanayotozwa wafanyakazi wa umma ni tofauti taasisi binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…