Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

Kwenye hii template kuna baadhi ya vitu havipo so unaweza kuongezea kama unajua excel. Mfano NHIF, Vyama vya wafanyakazi k.m RAAWU, Loan Board etc. Pia kwa watumishi wa umma (PSSSF) makato ni 5% siyo 10% kama ilivyo kwenye hii template.
 

Attachments

Hapa mie sijaelewa chochote ngoja niendelee kusubiri michango ya wadau wengine labda naweza kuelewa vizuri
 
Kwahiyo mfano mimi,mshahara wangu ni 300,000,hivyo ntapokea bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…