Mapendekezo ya slogan dhidi ya Kaizer Chiefs

Mapendekezo ya slogan dhidi ya Kaizer Chiefs

Wana Simba mje basi tusaidiane mawazo mbona amuonekani,au mtandao unasumbua huko?
Minashauri iwe"Vita vya maangamizi"
Wametutelekeza hawataki kuleta mawazo katika kipindi hiki kigumu tunachopitia
 
Back
Top Bottom