Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wapendwa wana JF nimekuwa nikitafakari sana kuhusu mambo yalivyo. Nimesoma vitabu vya dini nikasoma sayansi, nimefanya meditation na kufanya mambo ya kila namna. Lengo lilikuwa kupata kujua uhalisia wa Existance.
Kila nikienda ndani zaidi mambo ndiyo yanazidi kuwa makubwa zaidi.
Asili yangu tangu nikiwa mdogo nimelelewa katika familia ya kikristo. Na nimejifunza vitu vingi sana kuhusu ukristo.
Kuna maandiko yaliyoandikwa kwenye biblia yalinifanya niweze kutafuta kujua ukweli ni nini?
Baada nikaja kuona Truth is an Illusion
Maandiko yenyewe ni:-
Luke 17:21 Neither shall they say, Lo here! or, lo there! for, behold, the kingdom of God is within you.
Haya maandiko yalinifanya nianze kutafakari na kutafuta kujua What is the nature of Existance?
Haya hapa ni mapendekezo yangu binafsi:-
1. Tuachane na mawazo ya kufikiria kuhusu origin, source, creation na theory and beliefs zozote zinazoongelea oringin (Uumbwaji, Big bang etc).
2. Tuanze kufikiria kwa namna nyingine kwamba existence has no origin, source or creation.
3. Science na Religion zimeshindwa kuelezea kuhusu existence kwahiyo tunatakiwa kuruhusu free thinking and without bases of science or religion.
4. Tunatakiwa tufikirie kuwa we are all and what we see through our eye, devices, religion and science kwamba we are the part of this system we are living in, so we need to go outside of this system so as we can Identify nature of existence.
5. We cannot rely only on our physical experience through moral, values, ethics, experiments and observation to determine what existence is. We need to go beyond of this.
NB: Sipingi uwepo wa sayansi na dini, lakini tunatakiwa vilevile kwenda zaidi ya haya.
Katika thread hii nitachambua kwa kina na kuelezea kiundani zaidi mapendekezo yangu.
Karibuni.....