Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko uwanjani pale shamba la bibi.Viongozi wote wa Simba walioongoza kwa mafanikio na changamoto tangu wakati wa marehemu Jimmy David Ngonya akiwa mtumishi pia pale Bima nipo.Wachezaji wazuri nawajua, elimu ninayo, nina shahada ya kwanza katika BA General in Political science and Public admistration, nina Masters of Science in Human Resource Management na sasa niko mwaka wa tatu napambana na degree ya sheria yaani LLB.
Mo Dewji, hao akina Try Again wakati mm nashabikia Simba hawajulikani walikuwa wapi, enzi hizo mbabe wa vita ni Azim Dewji vs Abbas Gulamali.
Mm nna uelewa mkubwa wa masuala ya soka ukiachana na criticism za kijinga za watu.
Mm pia kwa sasa ni mtumishi wa serikali na sina njaa kiviile.
Naujua mpira nje na ndani, mbinu zote alizokuwa akizitumia marehemu Bamchawi, Juma Salum nazijua.
Huyo Hersi mtoto mdogo sana kwangu, ujanja wake anaoutumia wote naujua, niko tayari kukufanyia kazi hii bona-fide.
Niko tayari kupita matawi yote kuondoa makundi, nna elimj ya alternative dispute resolutions, nijieleze vipi mie ili unielewe.
Niite popote pale tuongee, kwa sasa hata ukirud kuongoza Bodi hutafanikiwa, kwanza hakikisha Mangungu hufanyi kazi naye, itisha mkutano tumuage mwanasiasa huyo, kwa sababu hawezi kuachia ngazi akihofia kisiasa atakuwa amejimaliza, mwakani anagombea ubunge kilwa kaskazini huyo, hao akina CPA wa mchongo hawana tena moral authority ya kufanya kazi na ww, itisha mkutano wa dharura tuwapumzishe ilk tuweke watu wa ukweli.
Sisi wa kufungwa mabao 5 kweli na Yanga? Hilo jambo sisi halitatutoka hadi siku ya kiama, walaaniwe wote waliomchagua Ashura Baraka, kiongozi wa bendi ya Twangeni mpepete, hawa ni wachumia tumbo tu.
Niko tayari kukusaidia Mo Dewji.