Fifteen
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 512
- 594
Habari wa kuu ,
Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.
Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo
1. Math, Physics And Chinese
2. Physics, Chemistry and Russian or Arabic
3. Physics, Chemistry, Chinese
4. Physics, Math And Computer
5. Physics, Geography and Astronomy
6. Chemistry, Thermodynamics and Geography
7. Geography + Mathematics and Chemistry, Physics, Biology or Computer Science
8. Physics, Chemistry and Electronics
9. Mathematics, Computer and Electronics
10. Mathematics, Mechanics and Chemistry
Kwa maoni yangu hizi zingefaa sana kwa wanafunzi wa sayansi hii itatusaidia kupata wasomi wengi wa kwenda nje kuchukua ujuzi kuliko bidhaa