Mapenzi bila drama hayaendi?

Mapenzi bila drama hayaendi?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often.

Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa.

Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi.

Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
 
Siku utakayokuja kumwelewa mwanamke bado ndy siku ambayo utakuwa umeanza kufeli ktk mahusiano..wanawake hawaelewwki wanataka Mimi ktk mahusiano mkuu
 
Mi sikua najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often, sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi.

Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
IMG-20220525-WA0001.jpg
 
View attachment 2241233
 
Hayaendi ona unavyojitilisha huruma sasa wakati ungeendeleza drama sasa usingekuwa umejikumbatia unalia lia.
 
Unapenda penda hovyo. Mchane mwambie apite alolo halafu uone kama ajaanza kukulilia mwenyewe. Mbona mimi Darlin aliniletea hizo pigo nikamkatia juu kwa juu saivi karudi mwenyewe!!
 
Inawezekana drama ni sehemu ya mapenzi au mapenzi ni drama
 
Unapenda penda hovyo. Mchane mwambie apite alolo halafu uone kama ajaanza kukulilia mwenyewe. Mbona mimi Darlin aliniletea hizo pigo nikamkatia juu kwa juu saivi karudi mwenyewe!!
Aiseeeeeeee naona umekuja kuniumbua huku jinsi navyokuliliaga piemu mkuu😆😆😆wallah sijapenda hii kesi lazma ifike mbali siwezi kuacha hiv hivi
 
Mi nimeachwa ghafla Jana na binti wa miaka 22[emoji28][emoji28]alianza drama drama nikawa nanyuti tu, akakausha kama siku 2 hatujatafutana, Jana kaibuka eti nimebreak up mahusiano ,nikamwambia fresh siku njema. Nikafuta na namba hapo hapo.
 
Mapenzi ni nn?

Mapenzi ni..... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom