Mi sikua najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often, sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi.
Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
View attachment 2241233Mi sikua najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often, sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi.
Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
shida ipo ila yeye ndo kaitengeneza kwa kujifanya anajua sana kupendaWe nawee una kisirani kama mwanamke
Sasa nini shida hapo?
Aiseeeeeeee naona umekuja kuniumbua huku jinsi navyokuliliaga piemu mkuu😆😆😆wallah sijapenda hii kesi lazma ifike mbali siwezi kuacha hiv hiviUnapenda penda hovyo. Mchane mwambie apite alolo halafu uone kama ajaanza kukulilia mwenyewe. Mbona mimi Darlin aliniletea hizo pigo nikamkatia juu kwa juu saivi karudi mwenyewe!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]