mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Inawezekana ndugu...
Maana mpwa yuko high zaidi ya high!!!
Yani mtu mnapendana kavu kavu kama padri na sista jamani, hapana kwakweli hapana...Mapenzi heka-heka,purukushani na utundu..ila ukiwa memba wa CHAPUTA utaona kama unaonewa vile..
Na kukera pia..na si rahisi kuwakumbuka watu wa hivi,.hawasisimui hata kidogo aiseeeWanahuzunisha
Mpwa amepitia mafunzo maalumu mkoleni....itakuwa kijana mwenzie kamvuruga!!Mpwa inabidi arudi mkoleni akafumdwe na kungwi mzee miiko anasahau
Sijui ni weekend vibes au
Miiko ipi nimevunja? Nasemajeee mapenzi bila miti hayanogiMpwa inabidi arudi mkoleni akafumdwe na kungwi mzee miiko anasahau
Sijui ni weekend vibes au
😂😂😂😂😂😂hata mapadri wenyewe na masista wana "morning glory" sembuse sie...hawana lolote nguvu za viganja tuu...Yani mtu mnapendana kavu kavu kama padri na sista jamani, hapana kwakweli hapana...
Miiko ipi nimevunja? Nasemajeee mapenzi bila miti hayanogi
Nikekuomba poo aisee wewe ni nomaaaEti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
mnachonga sana mnapoliwa pia mnapiga kelele mara uwii unauaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mapadri wenyewe na masista wana "morning glory" sembuse sie...hawana lolote nguvu za viganja tuu...
Ila mnaboa mjue...unatamani umwambie mtu "hivi wewe mm ni dadako/kakako???😂Mimi kama mwenyekiti wa CHAPUTA nataka nikuteue viti maalamu Kwenye Chama kubwa kwa jibu hili.
Namuonea aibu nisaidie kumwambia anigegedeHayuko straight sana. Angekuwa straight angemwambia huyo jamaa yake amgegede.
Mpwa amepitia mafunzo maalumu mkoleni....itakuwa kijana mwenzie kamvuruga!!
Kombe litakuja asubuhi kabla jogoo hajawikaKweli Ankali inabidi kuwe ni ma shindano ya dunia kwenye hili naamini vijana hawataniangusha!!!!!....
Kelele za mahaba jamaniii...mnachonga sana mnapoliwa pia mnapiga kelele mara uwii unauaa[emoji23]
Unatutia aibu watoto wa kike unavyojiachiaga shoga..... Duh!!!Eti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Mtuvumilie Tu Hamna Namna Huwa Tunasubiri Kutunukiwa Kama Ngekewa 😀Ila mnaboa mjue...unatamani umwambie mtu "hivi wewe mm ni dadako/kakako???😂
Kuuza mbuzi kwenye gunia hasara yako hiyo, nimelia sana sahivi umenikumbusha jamaa angu aliuziwa pembe za ng'ombe akadanganywa za ndovu, nmelia hadi kwikwiNi kweli kamwe mbuzi hauzwi kwenye gunia mkuu
Aaaah wapiii...kuna wengine wanatia huruma mpaka unatamani umwombee,.maana hausimiki hausimami😎Ukiwa member wa chaputa kuna jinsi ya kujibust. Unakuwa active Dunia nzima