Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

Cha mitandaoni ......Tatizo tukitangaza kupigana miti mnaanza mizinga dawa yenu tunawakaushia tu mpaka mjiongeze mtoe wenyewe bure
Come on mwanaume wa kweli haogopi mzinga, be a man!!!!
Leo ni swala la kuchangamsha mahusiano kwa kupiga miti achana na mizinga, mzinga mzinga as if unaweza kutmba hizo hela zako
 
Come on mwanaume wa kweli haogopi mzinga, be a man!!!!
Leo ni swala la kuchangamsha mahusiano kwa kupiga miti achana na mizinga, mzinga mzinga as if unaweza kutmba hizo hela zako
Habari za kupigana miti kiholela bila nidhamu na kuheshimiana mm siungi mkono hoja @ cha mitandaoni
 
Eti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!

Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.

Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.

Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Njoo nikupige miti
 
Mimi napenda tufanye baada ya ndoa ndio inapendeza zaidi na kunoga zaidi [emoji23]
Okay ni sawa pia, kwakua ndivyo upendavyo ila eti huwa nawaza unasubiri ndoa afu unakuta mwenzio hana hivi itakuaje? Nlisoma msg moja mdada anaomba ushauri baada ya ndoa kakuta Mme hana pmbu
 
Hua mnakua kama hamtaki kabisa ukuni yani hamtaki kabisaa basi na sisi tunawaacha
 
Umenena vyema kabsa

Mimi mwanamke akija geto alafu Ana jifanya sister du hata kuguswa hataki huwa na mwamba ukwel Kuwa mimi sio kaka ake na yeye sio Dada angu kama huoni umuhimu wa papuchi na dushe na mwamba aondoke tu na hapo ndo mwisho wa mawasiliano yetu

Sipend kabsa mwanamke anaejifanya mjinga kwenye Mapenz
 
Back
Top Bottom