dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Wapo hivi.....Wengine hawatunukiki😅wapo wapo tuu
Cku mbili tatu hizi katika pitapita zangu humu sjakuona...majukumu ya kujenga taifa niniOooh I miss you more, I miss you...
Maza ni kiboko![emoji1][emoji1][emoji1]Mwanangu em niache kidogo nikumbushie enzi..vijana siku hizi mnalalamikiwa sana,Me staki mwanangu wa pekee wa kiume uwe boyaboya...we mcheki faza ako,.nataka uwe vile,.ule mpaka kucha za miguuni[emoji16][emoji16]
Come on mwanaume wa kweli haogopi mzinga, be a man!!!!Cha mitandaoni ......Tatizo tukitangaza kupigana miti mnaanza mizinga dawa yenu tunawakaushia tu mpaka mjiongeze mtoe wenyewe bure
Ni kweli ila kufwanya ni muhimu pia inanogesha sana mapenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakimbia rada...
Habari za kupigana miti kiholela bila nidhamu na kuheshimiana mm siungi mkono hoja @ cha mitandaoniCome on mwanaume wa kweli haogopi mzinga, be a man!!!!
Leo ni swala la kuchangamsha mahusiano kwa kupiga miti achana na mizinga, mzinga mzinga as if unaweza kutmba hizo hela zako
Njoo nikupige mitiEti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Hamna nipo Amigo nmetulia tu, nyie jengeni mi nitapaka rangiCku mbili tatu hizi katika pitapita zangu humu sjakuona...majukumu ya kujenga taifa nini
Kiholela bila nidhamu ndio aje, nlichosema kipo clear bye AngeloHabari za kupigana miti kiholela bila nidhamu na kuheshimiana mm siungi mkono hoja @ cha mitandaoni
Okay ni sawa pia, kwakua ndivyo upendavyo ila eti huwa nawaza unasubiri ndoa afu unakuta mwenzio hana hivi itakuaje? Nlisoma msg moja mdada anaomba ushauri baada ya ndoa kakuta Mme hana pmbuMimi napenda tufanye baada ya ndoa ndio inapendeza zaidi na kunoga zaidi [emoji23]
Ungemuonea aibu usingeandika hapaNamuonea aibu nisaidie kumwambia anigegede
Okay Angelo poaUngemuonea aibu usingeandika hapa
Oh yeah my boy😍Maza ni kiboko![emoji1][emoji1][emoji1]