Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna mtu nikimpa hii asome ni yeye 100/100
Kuanzia sasa nimeacha mkuuUache ufilipino mambo ya kujifanya mnapeana cheni utotoni na ahadi kibao halafu mnakutana uzeeni na cheni zenu shingoni sio, unazibia watu msosi halafu nawe hauli ndo manini sasa?!!!
Weekend hiiKumekucha
Kipenzi Weekend hii naanza kuiogopaWeekend hii
Kipenzi Weekend hii naanza kuiogopa
Una chura?Wanawake wote wameingia mitini!.....ila rafiki hiyo bhange ya huko kwenu ni kali sana kuliko hii ya huku kwetu!
Eti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Kumbe huyo ndiye anayekuharibu...mpwa....Aibu nimeona mimi
MO11 njoo unichukue siwezi hata kutembea