Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Don za siku nyingi, umepoteaEvelyn Salt......upo jameni?
Nipo Don za siku nyingi, umepotea
Nlikua na akili za kisichana sikuyawaza hayo nlichukulia poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ulitakiwa kusoma nyakati. Angalau profile yake ya nyuma afu ungejua jinsi ya kumsaidia!
Eti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Dereva anachagua Barbara za kupita?Teh dereva sijui anaogopa traffic hahahaha
Hamna, nmekaa tuHahahaaa kwiyo sasaivi Una fanywa
Jamaa Leo aja piga cha hasubuiHamna, nmekaa tu
Ukiona mtu wa jinsi hiyo ujue hajiamini, lakini wengine mkuyati kwanza kiss baadae kwa ajili ya kupongezana kwa kaziEti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Itakua ni WAPENZI WATAZAMAJIMiaka miwili hamjachojoana vyupi bado mnaitana wapenzi?
Nimekuelewa sana maana iman bila matendo hiyo imekufa.Eti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Nyege zenu sio zake tenaHahahahaaaaa!! Mie kama ananipa pesa atajua mwenyewe na genye zake.
Amina mtumishiNimekuelewa sana maana iman bila matendo hiyo imekufa.
Tena hapo mechi inapigwa alimaarufu tunaita SHOW YA KIBABE roundi 5+ za kuanzia dk 30 aboveAmina mtumishi