Sasa kosa pesa uone kama utaachA kuziona rangi zote za upinde wa mvuaUnaeza kuwa na Pesa na
Mkeo/mpeenzi akanyooshwa na mkaka muuza Chips, eti sababu anaongea sauti nzito
Hayanaga formula haya[emoji28][emoji28]
Haupendwi inapendwa pesa na hiyo sio tafsiri ya Mapenzi hiyo ni biashara ya Ngono[emoji28][emoji28]
To yeye Ya kweli haya?[emoji23]Unaeza kuwa na Pesa na
Mkeo/mpeenzi akanyooshwa na mkaka muuza Chips, eti sababu anaongea sauti nzito
Hayanaga formula haya[emoji28][emoji28]
Haupendwi inapendwa pesa na hiyo sio tafsiri ya Mapenzi hiyo ni biashara ya Ngono[emoji28][emoji28]
Sahii kabisa,Sasa kosa pesa uone kama utaachA kuziona rangi zote za upinde wa mvua
Uwe na pesa/usiwe na pesa, kunguru ni kunguru tu, huwezi kumfuga, labda upate mke mwenye maadili.Aise ebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungi mhimu sana katka mahusiano,.
TAFUTA PESA.sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji mhiumu..
Wale jamaa machizi sana inaonekana mzee baba unawakubali sanaπ€£π€£π€£"Hakuna kibamia, inategemea una pesa gan"
mabantu Ni vijana wa hovyo kabisa[emoji1787]
Pesa ni tamu mjomba angalia totoz hizi chuo zilivyofunga nyuma madoni wanavyozifaidiUnaeza kuwa na Pesa na
Mkeo/mpeenzi akanyooshwa na mkaka muuza Chips, eti sababu anaongea sauti nzito
Hayanaga formula hayaπ π
Haupendwi inapendwa pesa na hiyo sio tafsiri ya Mapenzi hiyo ni biashara ya Ngonoπ π
Kila nikisikiliza nyimbo zao naishia kucheka TU[emoji1787]Wale jamaa machizi sana inaonekana mzee baba unawakubali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππ"Hakuna kibamia, inategemea una pesa gan"
mabantu Ni vijana wa hovyo kabisa[emoji1787]
Pesa ni muhimu sana aisee bila pesa mambo mengi hayaendi kabisaAise hebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungo muhimu sana katika mahusiano,.
TAFUTA PESA. Sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji muhimu..