Mapenzi bila pesa ni sawa na kula ugali bila mboga

Mapenzi bila pesa ni sawa na kula ugali bila mboga

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,781
Aise hebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungo muhimu sana katika mahusiano,.

TAFUTA PESA. Sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji muhimu..
 
Unaeza kuwa na Pesa na
Mkeo/mpeenzi akanyooshwa na mkaka muuza Chips, eti sababu anaongea sauti nzito
Hayanaga formula haya😅😅

Haupendwi inapendwa pesa na hiyo sio tafsiri ya Mapenzi hiyo ni biashara ya Ngono😅😅
 
Unaeza kuwa na Pesa na
Mkeo/mpeenzi akanyooshwa na mkaka muuza Chips, eti sababu anaongea sauti nzito
Hayanaga formula haya[emoji28][emoji28]

Haupendwi inapendwa pesa na hiyo sio tafsiri ya Mapenzi hiyo ni biashara ya Ngono[emoji28][emoji28]
Sasa kosa pesa uone kama utaachA kuziona rangi zote za upinde wa mvua
 
To yeye Ya kweli haya?[emoji23]
 
Pia
Bwana mmoja humu alisema"
Upendo wa mwanamke uko kwenye continued performance maana hauji bure na hata ukishaupata hautadumu
Unless u feed the performance"
Huna pesa ni vipi utaweza kufanya feeding performance iwe stable?

Tafutaa (nasikia sikuhizi mnasema aftatu)
 
Masanja mkandamizaji akiiona hii Post 👇🏾
IMG_20221122_113303.jpg
 
Sasa kosa pesa uone kama utaachA kuziona rangi zote za upinde wa mvua
Sahii kabisa,
Ndo Mana najisemea kamwe siwez kubali kufilisika kisa kuinvest kwny mapenzi

Mana always Najua kuachwa kupo,
Ila kuachwa ukiwa broke Ni hatari zaidi

Unakosa hata pesa ya pombe nzuri,starehe nzuri au ya kuhonga mwanamke mwngn mzur akufariji ktk kipind kigumu Cha kuachwa

Mwisho wa siku unaishia kupata sonona ,kujifungia ndani au kwenda vilabuni kunywa pombe na vilevi vya Bei rahisi viitakavyo kuangamiza mapema
 
Pesa itafanya muweze kuishi ila ishu za mapenzi ni za ovyo sana.

Unaweza kuwa na pesa ukampa na mtaji ila akaliwa tunda kimasihara na mteja kisa anamuungisha 😂.

Muhimu kuwa na vitu vitatu; pesa, afya nzuri na muda. Vitu ambavyo watu wengi hawana vyote ndio sababu kuna kulia lia

Mwanamke akiwa na mtu mwenye pesa, anaanza kutafuta kijana mwenye afya nzuri na muda ila hana pesa then yeye anaenda kumpa pesa.

Hapo ndio utasikia mwanamke anasema anampa sapoti mpenzi wake 😂😂
 
Aise ebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungi mhimu sana katka mahusiano,.

TAFUTA PESA.sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji mhiumu..
Uwe na pesa/usiwe na pesa, kunguru ni kunguru tu, huwezi kumfuga, labda upate mke mwenye maadili.
 
Unaeza kuwa na Pesa na
Mkeo/mpeenzi akanyooshwa na mkaka muuza Chips, eti sababu anaongea sauti nzito
Hayanaga formula haya😅😅

Haupendwi inapendwa pesa na hiyo sio tafsiri ya Mapenzi hiyo ni biashara ya Ngono😅😅
Pesa ni tamu mjomba angalia totoz hizi chuo zilivyofunga nyuma madoni wanavyozifaidi
 
Sema itabidi urudishwe shuleni ili ujifunze kuandika.
 
Aise hebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungo muhimu sana katika mahusiano,.

TAFUTA PESA. Sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji muhimu..
Pesa ni muhimu sana aisee bila pesa mambo mengi hayaendi kabisa
 
Back
Top Bottom