..........Wapo wanaoweza kuvumilia kipindi cha uchumba kutofanya mapenzi lakini ni wachache sana kwa siku hizi.
Kuna mdada mmoja hivyo hivyo alipata mchumba mlokole mwenzake, yule dada akamtilia ngumu yule kaka kunanihiii naye hadi ndoa, akasema ni dhambi. Mkaka wa watu akawa anasubiri kweli hadi ndoa, kumbe yule mdada alikuwa na bwana mwingine wa kihindi wanakula uroda kama kawa.
Baada ya muda yule dada akafunga ndoa na huyu mlokole mwenzake, kumbe yule dada alikuwa tayari kanasa mimba ya muhindi. Wamekaa kama miezi miwili kwenye ndoa dada kitumbo kinajitokeza, mume anashangaa mwenzanke kapata wapi mimba!!!Kwenda kupima mimba ina miezi 5, ikabidi ndoa ife.
Hivyo huyo kaka awe makini, yeye atakuwa anasubiri kumbe mwenzake sio mwaminifu.