ntajuaje kama ulijiingiza mwenyewe kwenye matatizo?Hata hunionei huruma??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntajuaje kama ulijiingiza mwenyewe kwenye matatizo?Hata hunionei huruma??
Naamini nilichopitia...nacho ni usanii mtupu!
Hahahah......sawa bwana!!Inawezekana kabisa nilijiingiza mwenyewe kwakujifanya nna kamoyo kakupenda ila bado nastahili pole bwana!:A S cry:
BAK My favourite part of the song...
Whitney alikuwa kiboko, kaenda kula maunga sasa amekuwa hovyo! Jitihada zake za kurudi katika Ulimwengu wa muziki inaelekea zimeshindikana. Unga umemuharibia kila kitu.
Ndo imetoka hio BAK na wanamziki wapya na wakali wamekua weeengii, once you are out of the pic kurudi ni kazi saana... Hata hivyo kuna moja ya wimbo wa witney 'I Look to you' wa juzi kati hapa I love the song and the video...
Asha, Inasikitisha sana kusema kweli. Kuna wakati alikuwa ana worth $500 million pamoja na studio yenye uwezo wa kurekodi nyumbani kwake. Sasa hivi kishaanza kuuza baadhi ya Assets zake maana hela inayoingia imepungua sana ukilinganisha na ile inayotoka. Si ajabu miaka michache ijayo tutasikia amefilisika. Juzi juzi alikuwa anamuomba ticket Prince ili ahudhurie concert yake. Prince hakupenda maana naona aliona kama ni usumbufu mkubwa hivyo kampiga ban katika maonyesho yake popote pale duniani. Ndio Prince naye ni mkali lakini huwezi....lakini Whitney na Prince wapi na wapi! huyu wa kula maunga kishashuka thamani sana! sio tena yule aliyekuwa juu ya chart kila mahali duniani. Kweli kabla hujafa hujaumbwa!
Tell Me What Do You Want Me To Do - Tevin Campbell