Mwambie amfanyie kitu kimoja mkewe jamaa akae kama miezi miwili hivi bila kuomba huo unyumba halafu mke wake akimuuliza mbona siku hizi huhitaji tendo la ndoa jamaa amjibu kwa kifupi tu, sijisikii hapo lazima wife atafura sasa akifura jamaa ndio amuweke chini amueleze A to Z kuwa yeye hatosheki na hiyo onja onja kana kwamba hajaoa, na jamaa hapo ndio apendekeze kabisa kuwa mimi nataka kila siku na ikiwezekana na asubuhi kabla hatujahamka hiyo saa kumi tushtue kimoja kujiweka fresh na mikimiki ya kukamata daldala kama wanatumia usafiri huo au kukamata usukani kama wana gari zao binafsi.
Simple like that jamaa anakuwa anafaidi matunda ya ndoa
Au nimekosea wajameni?
Kuna jamaa yangu mmoja ananiomba ushauri,nikaona bora nami nipate ushauri wenu ili tumsaidie;
Huyu jamaa ameoa yapata 2yrs now lakini huyu jamaa na mke wote wanafanya kazi posta-Dsm wanakaa Kitunda. Kwa sababu usafiri ni shida inawalazimu kuamka alfajiri saa 10 na mke huwa wa mwisho kurudi nyumbani baada ya kazi saa 4 usiku.
Huyu mwanaume akiulizia unyumba yule mwanamke anampangia ratiba wakutane jumapili na sharti ni mara moja tu wastani ni mara 52 a year.
Sasa kwa sababu yule jamaa ni rijali hatosheki, tutamsaidiaje kimawazo?

sio siri huyo mama anachoka kwa kweli, maana kuamka alfajiri hivyo na usiku ndio anarudi home. Mumewe inabidi amuelewe mwenzio, kweli wakubaliane angalau wakutane kimwili weekend basi jmosi na jpili .Nadhani wafanyakazi wa posta huwa hawafanyi kazi siku hizo za weekend.